ww kama mlaji una choice pia. chema chajiuza,kibaya chajitembeza. usipande hilo basi kama kuna choice nyingine. ingekua mwendo kasi ningekushauri wanaposimama kukaguliwa ratiba uwashtaki ka trafic na kumpiga biti trafic kua ajali ikitokea utamtaja. pole,ndo shida ya kukaa makalioni kwa nchi