Haya maajabu

Haya maajabu

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,495
Reaction score
35,288
1474301906029.jpg
 
Huyu m-sure kanikumbusha, unaweza kupata mshangao au mshtuko hadi ukaanguka kwenye kiti!
 
Kuna sehemu flani huko sumbawanga maeneo ya kilando wanauza mezani, kuna za buku, hadi buku 10
 
Mkuu sitanii mwaka 2010 nilikua kikazi huko, kuna mshikaji wangu mmoja alikua askari polisi alikua anatoka na mke wa mtu, you can't blive mshikaji kapigwa na radi mchana kweupe na jua kali cha ajabu ile radi haikumuua ilimchania nguo tu
Hapo alipewa onyo tu ila akirudia tena atakuwa majivu aisee.
 
Mkuu sitanii mwaka 2010 nilikua kikazi huko, kuna mshikaji wangu mmoja alikua askari polisi alikua anatoka na mke wa mtu, you can't blive mshikaji kapigwa na radi mchana kweupe na jua kali cha ajabu ile radi haikumuua ilimchania nguo tu
mshkaji atakua Pogba huyo
 
Back
Top Bottom