Haya maajabu sasa

Haya maajabu sasa

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
ImageUploadedByJamiiForums1455377372.639262.jpg
 
Duu hiyo kali yaani moshi wa pikipiki badala ya kutokea kwenye exizosti wenyewe unatokea somewhere, Hii inapaswa kuongezwa kwenye maajabu ya dunia
 
Ni hatari dereva bodaboda kutumia shisha wakati anaendesha.
 
Abilia huyu simpandishi kama mimi wallaiiii!!!
 
ohoooo..!! tabaka la ozon layer litabaki kweli kwa staili hii..?
 
Back
Top Bottom