Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hauruhusiwi kujaza hiyo form. Elimu yako ni ndogo sana.Kama sijasoma je,? Mimi nimeishia la saba,
ukisha pata hiyo Bahati nasibu ya uraia nauli utajitolea wewe mwenyewe kivyako. Hawata taka Bank account yako watakacho hitaji ni vyeti vyako vya chuo ulivyo soma na Passport yako na cheti chako cha kuzaliwa kopi yake tu ukisha waonyesha wanakupa kadi yako ya Uraia wa kuingia Amerika wakati wowote unao taka kwenda utakuwa unakwenda bila ya viza kwenda na kurudi wakati wowote kwa muda wa miaka 10.Na vipi kuhusu nauli na bank statements
Daaah...so marekani ntakua naenda kama naenda Temeke tuukisha pata hiyo Bahati nasibu ya uraia nauli utajitolea wewe mwenyewe kivyako. Hawata taka Bank account yako watakacho hitaji ni vyeti vyako vya chuo ulivyo soma na Passport yako na cheti chako cha kuzaliwa kopi yake tu ukisha waonyesha wanakupa kadi yako ya Uraia wa kuingia Amerika wakati wowote unao taka kwenda utakuwa unakwenda bila ya viza kwenda na kurudi wakati wowote kwa muda wa miaka 10.
Ndio ukipata Green Card ya Amerika umekula kuku Mkuu utakuwa unakwenda Amerika kama vile unatoka Kariakoo kwenda Temeke. Kila mwaka watu 50.000 wanapata nafasi hiyo ya kushinda bahati nasibu ya Green Card.Daaah...so marekani ntakua naenda kama naenda Temeke tu
So chance ya kuwin ikoje (probability) na per country (Tanzania) wanapewa wangapi kikawaida?
Hivi tuseme umekuwa selected kwenye dv lottery na huna mtu unaemfahamu USA akupokee japo pesa ya kujikimu unayo inakuaje?Mimi siitaki hiyo GC nina wasaidia wabongo wachangamke na maisha ya nje wakachume nje na kuja kuleta pesa na maendeleo nyumbani.
Ila nackia unahitaji proof ya financial self sufficiency ili ukifika US usiwe tegemeziukisha pata hiyo Bahati nasibu ya uraia nauli utajitolea wewe mwenyewe kivyako. Hawata taka Bank account yako watakacho hitaji ni vyeti vyako vya chuo ulivyo soma na Passport yako na cheti chako cha kuzaliwa kopi yake tu ukisha waonyesha wanakupa kadi yako ya Uraia wa kuingia Amerika wakati wowote unao taka kwenda utakuwa unakwenda bila ya viza kwenda na kurudi wakati wowote kwa muda wa miaka 10.
Kwanini sisi tulivyo safiri kwenda nje hatukutegemea tutawakuta watu au Wa-Tanzania wa kutupoke Hoteli zipo kibao ukiwa na pesa utafikia Hoteli baadae utakutana na Wa-Tanzania wanaoishi huko uliko kwenda kutafuta maisha.Hivi tuseme umekuwa selected kwenye dv lottery na huna mtu unaemfahamu USA akupokee japo pesa ya kujikimu unayo inakuaje?
Mkuu nime kutumia ujumbe kwa email..Kwanini sisi tulivyo safiri kwenda nje hatukutegemea tutawakuta watu au Wa-Tanzania wa kutupoke Hoteli zipo kibao ukiwa na pesa utafikia Hoteli baadae utakutana na Wa-Tanzania wanaoishi huko uliko kwenda kutafuta maisha.
mkuu itabidi ujue hyo lugha ya malkia maana ndo inatumika kwenye interview ubalozini pia kumbuka huko marekani hawaongei kimakonde(just kidding)Aisee hii procedures ya kujaza mkuu inapatikana kwa lugha ya kiswahili??? Manake lugha hii imekuja kwa ndege na mimi ni st kayumba type.
Muda upi ambao ushaishaMuda wake ushapita
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ni hivi navojua Mimi ukiwa na hiyo resident permit na ukaitumia kuishi USA Kwa zaidi ya miaka 5 mfululizo bila kutoka na bila kufanya kosa unapatiwa uraia wa USAGreen Cars inakusaidia kuishi Amerika kwamuda wa miaka 10 bila ya viza ni kama kupata nusu Uraia wa Amerika kwani ukiweza kuishi amerika ukapata kazi na mshahara mzuri na unaweza kufanya kazi amerika na nyumbani ukajenga nyumba na kuwa na gari na maisha yako yakawa mazuri kwa muda mchache tu.
Muwe mnasoma habari nzma jamani tuache kusoma juu huu na kuuliza maswali yasiyo na mcngi
Yes valid na isiyoexpire soonNimesikia this year wameongeza kipengele cha Candidate must has a valid passport