Haya kwa wale wanaotaka kwenda kuishi amerika na kuapata green card Uraia wa Amerika

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,236
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,236 2,000
Jaman naomba msaada mimi sijaelewa hiyo green card nikiapply ntafaidika vipi? Au ni kwa wale ambao wamepata ajira huko marekani au ambao wamepata admission ya chuo marekani?? Tafadhari naomba nijuzwe
Green Card Lotter ni bahati nasibu ya kukuwezesha wewe kuishi amerika maisha yote ukicheza hiyo bahati nasibu ukishinda ndio unapata nafasi ya kwendakuishi Amerika kwa viza ya maisha huko. Itakuwa ni vizuri uwe umesoma una cheti kizuri cha shahada nzuri kuanzia Diploma au Digrii itakuwa ni vizuri kwani ukifika huko utatafuta kazi ya kufanya na utaweza kupata kazi na mshahara mzuri kuliko mishahara yetu ya kiafrika.
 

ngoshaaa

Member
Joined
May 18, 2017
Messages
88
Points
125

ngoshaaa

Member
Joined May 18, 2017
88 125
Green Card Lotter ni bahati nasibu ya kukuwezesha wewe kuishi amerika maisha yote ukicheza hiyo bahati nasibu ukishinda ndio unapata nafasi ya kwendakuishi Amerika kwa viza ya maisha huko. Itakuwa ni vizuri uwe umesoma una cheti kizuri cha shahada nzuri kuanzia Diploma au Digrii itakuwa ni vizuri kwani ukifika huko utatafuta kazi ya kufanya na utaweza kupata kazi na mshahara mzuri kuliko mishahara yetu ya kiafrika.
Asante kaka
 

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
6,196
Points
2,000

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
6,196 2,000
Kwanini unataka kunihukumu mimi? Kivipi unataka ujuwe umri wangu kama ni mtu mzima au kijana?Ukipenda kufuatilia Thread zangu fuatilia usipozipenda pia usifuatilie Thread zangu sijakulazimisha au hujalazimishwa na mtu kufuatilia Thread zangu Mkuu.Nihukumu takavyo ni hukumu mimi bado nitakuwa ni yule yule MziziMkavu Hauchimbwi dawa kazi kwako.
Mbona umekula sabuni mkuu.
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,236
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,236 2,000
Haya kwa wale wanaotaka kwenda kuishi amerika na kupata green card Uraia wa Amerika

Bonyeza hapa.Electronic Diversity Visa Lottery

Ukitaka nikusaidie kujaza form itabidi unilipe nitafute kwa muda wako Mwisho wa kujaza hiyo Form ni Tarehe 30/10/2018. Haya changamkeni mupate Uraia wa Amerika kwa kutumia bahati nasibu ya bure bila ya malipo.
Ukisha bonyeza hiyo link kuna mahali pame andikwa (Begin) bonyeza hapo itafunguka web page yake kuna mahali tena utapewa Code namba kama 4 utajaza na kubonyeza kisha ndio itafunguwa hiyo website yake na kujaza form yako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,236
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,236 2,000
Na uzee wako bado unataka ukaishi kwa Trump?
Kwanza ukiwa na miaka 55 na ukimpata mtu yupo Amerika akiweza kukualika kwenda huko amerika anakuletea barua ya mwaliko na unakwenda Ubalozini na Passport yako na kupata viza ya kwenda kutembea kwa muda wa miezi 6 na kurudi nyumbani. Kwanza ukiwa mzee kupata viza ni rahisi kuliko kuwa ni kijana.
 

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
7,032
Points
2,000

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
7,032 2,000
Kwanza ukiwa na miak 55 na ukimpata mtu yupo Amerika akiweza kukualika kwenda huko amerika anakuletea barua ya mwaliko na unakwendaUbalozini na na Passport yako na kupata viza kwenda kutembea kwamuda wamiezi 6 na kurudi nyumbani. Kwanza ukiwa mzee kupata viza ni rahis kuliko kuwa ni kijana.
Sasa wewe GC unataka ya nn?
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,236
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,236 2,000
Jaman naomba msaada mimi sijaelewa hiyo green card nikiapply ntafaidika vipi? Au ni kwa wale ambao wamepata ajira huko marekani au ambao wamepata admission ya chuo marekani?? Tafadhari naomba nijuzwe
Green Cars inakusaidia kuishi Amerika kwamuda wa miaka 10 bila ya viza ni kama kupata nusu Uraia wa Amerika kwani ukiweza kuishi amerika ukapata kazi na mshahara mzuri na unaweza kufanya kazi amerika na nyumbani ukajenga nyumba na kuwa na gari na maisha yako yakawa mazuri kwa muda mchache tu.
 

Forum statistics

Threads 1,344,036
Members 515,307
Posts 32,805,587
Top