Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Nawasikitikia sana waliomo ktk kifungo huru kama hicho 7bu wakati wote huishi kiwasiwasi kuhofia wenzie wataokuwa wanamjaribu kushindanisha nguvu za giza tena kwa masharti kibao mwilini...[emoji26]
Itakua tumepotezana tu mai dada, au kwaresma ya kiislamu ilikua imekuficha.Unajua nilivyokumiss my kaka?umepotea ama mie ndio sikuoni?
Itakua tumepotezana tu mai dada, au kwaresma ya kiislamu ilikua imekuficha.
Imani za kijinga jinga kama hizi ndiyo maana waganga bado wapo maana wateja wapo wakutosha