Haya Gwajima

Hii mada imekuja hapa kufanya nini...?

Halafu punguza kisabengo na kiherehere au wewe ndo dada nilliye m-quote...?

samahani mama hapa malalamiko hayasaidii zaidi ya kuonekana boya

kama hutaki mtu akuquote tuma private message
sawa mama
 
Jamani, comments zenu zinatisha.

Ila tufahamu kuwa unapotoa sadaka kanisani ni kwaajili ya Mungu, haitakiwi kuangalia mtumishi wa Mungu anatumiaje, zaidi ya kuona Injili inasonga mbele tu.

Mimi nasali kwa Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, kiukweli Mungu anamtumia vema na ninapotoa sadaka natoa kwaajili ya kazi ya Mungu.

Kwa taarifa, hiyo chopa atakuja kuizindua Waziri Mkuu, Pinda, kabla haijaanza kueneza Injili nchini Tanzania.
 
Hichi kidude kama ni gari ni starlet.alafu ni cha misele ya mini tu,Dar mpaka Moshi akiwezi fly direct bila kupumzika njiani zaidi ya Mara moja
 

So akizindua Pinda ndo nini!!
 
Sasa ikawaje huyo Mungu wako akauliwa na Binadamu?
Binadamu wa kwanza kuumbwa ni Adam,kwa hiyo binadamu walianza kuwepo hapa duniani
Kabla ya huyo Mungu?!
Kumbe hata Biblia hukuwai isoma.

Anza kusoma kitabu kisicho kuwa na shaka ndani yake na kilichonyooka kinacho itwa Biblia. Majibu yako yote na maswali mengi ambayo hukuyauliza yamo humo.

Welcome to TEAM JESUS
 
Kama maandiko yanavyosema,kusaidia masikini na wasiojiweza ni amri ya Mungu,huyo mtumishi uliyemsema amekuwa na desturi ya kusaidia. Ununuzi wa chopa ni ili aweze kwa urahisi kuwafikia wote wanaohitaji kumjua Mungu wa Ibrahimu,
 

Amina majeshi...............
 
Sasa ikawaje huyo Mungu wako akauliwa na Binadamu?
Binadamu wa kwanza kuumbwa ni Adam,kwa hiyo binadamu walianza kuwepo hapa duniani
Kabla ya huyo Mungu?!
Tuliza mihemko wewe dawa iingie...

YEESU ni MUNGU full stop
 
Kumbe hata Biblia hukuwai isoma.

Anza kusoma kitabu kisicho kuwa na shaka ndani yake na kilichonyooka kinacho itwa Biblia. Majibu yako yote na maswali mengi ambayo hukuyauliza yamo humo.

Welcome to TEAM JESUS

Mashaidi wa Yehova mnamaslahi binsfsi. katika kitabu cha isaya kinasema naye fatwa MUNGU mwenye nguvu baba wa milele do u see!
Pia hata jina lake la imanueli maanaake MUNGU pamoja nasi.
Jiongeze
 
Kumbe hata Biblia hukuwai isoma.

Anza kusoma kitabu kisicho kuwa na shaka ndani yake na kilichonyooka kinacho itwa Biblia. Majibu yako yote na maswali mengi ambayo hukuyauliza yamo humo.

Welcome to TEAM JESUS

Umejaribu kukwepa swali lakini umerudi pale pale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…