Haya basi Magufuli hafai! Je, nani alistahili kuwa Rais?

Ngosha Mashine

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
311
500
Pamoja na mazuri mengi ambayo rais wetu anayafanya bado kuna watu wachache wanapinga,

Wapo wanaoenda mbali mpaka kusema kuwa Magufuli hakufaa kuwa rais,

Sasa kama Magufuli hakufaa kuwa rais nani tulitakiwa kumchagua awe rais wetu kwenye uchaguzi mkuu 2015?
 
lumimwandelile

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
206
250
labda tumuulize mange kimambi maana alimpigia debe sana halafu akamgeuka. sijui kwa kuwa hakupewa cheo. kutwa kumtukana rais hadi ndoa imemshinda kaishia kupigwa talaka. stupid lady
 
Penguine

JF-Expert Member
Nov 29, 2009
1,298
2,000
Hakuna aliyemkamilifu maishani. Magufuli ni Rais mwenye mtazamo wa taifa kuwa na mambo au uchumi mkubwa. Stiglers Gorge, flyovers, sgr, corruption free community, effective tax collection, aviation, etc. Kimsingi haya Ndiyo mambo ambayo Rais wa nchi anapaswa kuwa na ndoto nayo.

Changamoto: tunayafikiaje hayo?

Hapo ndipo kazi ya Wataalam ktk Serikali inapoanza. Hapa ndipo penye Mikakati, ndipo penye ujasusi wa ndani na nje ya nchi, ndipo penye mipango ya muda mrefu, kati na mfupi. Ndipo penye Kazi ya Mawaziri na Makatibu wakuuu wao, makamishna na Wakurugenzi wa taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za serikali through engagements. Ndipo ma- think tanks wanapotakiwa kuja na mbinu siyo moja Bali kadhaa (requisite variety theory).
 
DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
2,066
2,000
Imefikia mahali sasa tutawaliwe tu na marais waislamu, ingelifaa sana yani wanaimani sana hawa ndugu zetu. Natoa mfano ktk maraisi waliotutawala kwanzia awamu ya Mzee mwinyi kila kitu ruksa tulikosa nini!! Kama ni pesa tulikosa pakuziweka, ilibidi tuwe tunazihifadhi soksini :D:D god bless him mzee wetu.ukija kwa Kikwete mambo yalikuwa shwari wananchi tulineemeka mno, immigrants walikuwa wanaishi kwa furaha bila kuwekewa vikwazo wala masharti yoyote magumu.god bless him Mzee wetu kikwete
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
16,188
2,000
Pamoja na mazuri mengi ambayo rais wetu anayafanya bado kuna watu wachache wanapinga,

Wapo wanaoenda mbali mpaka kusema kuwa Magufuli hakufaa kuwa rais,

Sasa kama Magufuli hakufaa kuwa rais nani tulitakiwa kumchagua awe rais wetu kwenye uchaguzi mkuu 2015?
Bora wangempa bernad membe
 
Pumber Master

Member
Jan 19, 2018
61
125
Imefikia mahali sasa tutawaliwe tu na marais waislamu, ingelifaa sana yani wanaimani sana hawa ndugu zetu. Natoa mfano ktk maraisi waliotutawala kwanzia awamu ya Mzee mwinyi kila kitu ruksa tulikosa nini!! Kama ni pesa tulikosa pakuziweka, ilibidi tuwe tunazihifadhi soksini :D:D god bless him mzee wetu.ukija kwa Kikwete mambo yalikuwa shwari wananchi tulineemeka mno, immigrants walikuwa wanaishi kwa furaha bila kuwekewa vikwazo wala masharti yoyote magumu.god bless him Mzee wetu kikwete
Nyerere nae alikua nashida gan kwel mkuu?
 
Maharo

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
3,152
2,000
Imefikia mahali sasa tutawaliwe tu na marais waislamu, ingelifaa sana yani wanaimani sana hawa ndugu zetu. Natoa mfano ktk maraisi waliotutawala kwanzia awamu ya Mzee mwinyi kila kitu ruksa tulikosa nini!! Kama ni pesa tulikosa pakuziweka, ilibidi tuwe tunazihifadhi soksini :D:D god bless him mzee wetu.ukija kwa Kikwete mambo yalikuwa shwari wananchi tulineemeka mno, immigrants walikuwa wanaishi kwa furaha bila kuwekewa vikwazo wala masharti yoyote magumu.god bless him Mzee wetu kikwete
thubutu yako.......kuna wanaomkubali Mkapa na Magufuli for your information.
 
cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,779
2,000
Hakuna aliyemkamilifu maishani. Magufuli ni Rais mwenye mtazamo wa taifa kuwa na mambo au uchumi mkubwa. Stiglers Gorge, flyovers, sgr, corruption free community, effective tax collection, aviation, etc. Kimsingi haya Ndiyo mambo ambayo Rais wa nchi anapaswa kuwa na ndoto nayo.

Changamoto: tunayafikiaje hayo?

Hapo ndipo kazi ya Wataalam ktk Serikali inapoanza. Hapa ndipo penye Mikakati, ndipo penye ujasusi wa ndani na nje ya nchi, ndipo penye mipango ya muda mrefu, kati na mfupi. Ndipo penye Kazi ya Mawaziri na Makatibu wakuuu wao, makamishna na Wakurugenzi wa taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za serikali through engagements. Ndipo ma- think tanks wanapotakiwa kuja na mbinu siyo moja Bali kadhaa (requisite variety theory).
tatizo mzee anaamua kua one man army ndo anapoteaga...najaribugi kumpenda ila anaweza haribu kitu kimoja hadi najilaumu
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
5,266
2,000
Pamoja na mazuri mengi ambayo rais wetu anayafanya bado kuna watu wachache wanapinga,

Wapo wanaoenda mbali mpaka kusema kuwa Magufuli hakufaa kuwa rais,

Sasa kama Magufuli hakufaa kuwa rais nani tulitakiwa kumchagua awe rais wetu kwenye uchaguzi mkuu 2015?
Watu Waiojulikana Bana!!!! Sita Wasahau Kwenye kumbukumbu
 
MANILABHONA

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
409

Jiwe
 
Top Bottom