Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Jun 10, 2014 #1
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jun 10, 2014 #2 Heee mbona yupo bichi lol
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jun 10, 2014 #3 Mambo yashakuwa magumu kaona akomae mwenyewe vinginevyo lunch ndo anaikosa hivi hivi
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jun 10, 2014 #4 Dogo anakipaji cha utambuzi sana
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Jun 10, 2014 #5 Anamwaga maji tu, kama mtoto wa kiafrika angekuja kuchezea makofi mpaka akajuta
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jun 10, 2014 #6 mankachara said: Anamwaga maji tu, kama mtoto wa kiafrika angekuja kuchezea makofi mpaka akajuta Click to expand... Umenena kweli tupu mkuu!
mankachara said: Anamwaga maji tu, kama mtoto wa kiafrika angekuja kuchezea makofi mpaka akajuta Click to expand... Umenena kweli tupu mkuu!
Pendaneni Senior Member Joined Feb 12, 2014 Posts 134 Reaction score 108 Jun 10, 2014 #7 Mtoto wa kiafrika angekula mkong'oto mbaya, tena anachezea maji huku hajavaa nguo!!! Mbona angekoma kwa mama yake, wakati mama amesahau wajibu wake mtoto anaona amsaidie mama yake. Big up mtoto mzuri!!
Mtoto wa kiafrika angekula mkong'oto mbaya, tena anachezea maji huku hajavaa nguo!!! Mbona angekoma kwa mama yake, wakati mama amesahau wajibu wake mtoto anaona amsaidie mama yake. Big up mtoto mzuri!!
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Jun 10, 2014 #8 Hahaha dah!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jun 11, 2014 #9 Yupo uchi Haahahahaha