BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 9,015 Reaction score 20,642 May 25, 2024 #1 Hawa wasanii wanaotambulisha nyimbo zao kwa bwana Rajabu Zomboko huwa wanaishia wapi? Sijawahi kumuona msanii alietambulisha kazi yake kwenye hiki kipindi amevuma na kuwa msanii mkubwa nchini. Hapa nawaangalia jamaa wana gospel ya amapiano😀😀. Watatoboa kweli?
Hawa wasanii wanaotambulisha nyimbo zao kwa bwana Rajabu Zomboko huwa wanaishia wapi? Sijawahi kumuona msanii alietambulisha kazi yake kwenye hiki kipindi amevuma na kuwa msanii mkubwa nchini. Hapa nawaangalia jamaa wana gospel ya amapiano😀😀. Watatoboa kweli?
James Hadley Chase JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 2,150 Reaction score 3,997 May 25, 2024 #2 Aisee
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,912 Reaction score 21,969 May 25, 2024 #3 Umeshaambiwa "hawavumi lakini wamo". Kwa hiyo hao wasanii wapo ila hawasikiki!
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,423 Reaction score 138,193 May 25, 2024 #4 Tanzania sahvi kila mtu msanii Ova
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,503 Reaction score 27,812 May 25, 2024 #5 dear watchers eat that iron 😂😂😂
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,298 Reaction score 47,337 May 25, 2024 #6 mrangi said: Tanzania sahvi kila mtu msanii Ova Click to expand... Mkuu mrangi cheki huyu msanii yani aibu aibu. Mwijaku baba. Asante kwa @kilimanjarostarcargo ..! Nasema asante kwa Tanzania kuiamini Brand ya MWIJAKU /DC . @kilimanjarostarcargo | Burton Mwemba Asante kwa @kilimanjarostarcargo ..! Nasema asante kwa Tanzania kuiamini Brand ya MWIJAKU /DC . @kilimanjarostarcargo. www.facebook.com King Kong III
mrangi said: Tanzania sahvi kila mtu msanii Ova Click to expand... Mkuu mrangi cheki huyu msanii yani aibu aibu. Mwijaku baba. Asante kwa @kilimanjarostarcargo ..! Nasema asante kwa Tanzania kuiamini Brand ya MWIJAKU /DC . @kilimanjarostarcargo | Burton Mwemba Asante kwa @kilimanjarostarcargo ..! Nasema asante kwa Tanzania kuiamini Brand ya MWIJAKU /DC . @kilimanjarostarcargo. www.facebook.com King Kong III
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,955 Reaction score 15,115 May 25, 2024 #7 BUSH BIN LADEN said: Hawa wasanii wanaotambulisha nyimbo zao kwa bwana Rajabu Zomboko huwa wanaishia wapi? Sijawahi kumuona msanii alietambulisha kazi yake kwenye hiki kipindi amevuma na kuwa msanii mkubwa nchini. Hapa nawaangalia jamaa wana gospel ya amapiano😀😀. Watatoboa kweli? Click to expand... Ndio maana kimeitwa jina Hawavumi lakini wamo ITV
BUSH BIN LADEN said: Hawa wasanii wanaotambulisha nyimbo zao kwa bwana Rajabu Zomboko huwa wanaishia wapi? Sijawahi kumuona msanii alietambulisha kazi yake kwenye hiki kipindi amevuma na kuwa msanii mkubwa nchini. Hapa nawaangalia jamaa wana gospel ya amapiano😀😀. Watatoboa kweli? Click to expand... Ndio maana kimeitwa jina Hawavumi lakini wamo ITV