Hawataki Maua na Zawadi yoyote!Valentini

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
Nasikia chama cha magirlfriend tanzania (Chandra) kimetoa tamko lifuatalo......... sisi magirl friend Tanzania, Valentine hii hatutaki maua, iPhone,launch, pesa, Dina, iPad. Tunasisitiza maboyfriend wetu siku ya tarehe 14/2 waje wajitambulishe kwa wazazi wetu na kutoa tarehe ya harusi....... kauli mbiu ya mwaka huu ni......... Harusi kwanza zawadi siku ya sendoff.
 
Tamko kutoka Chama cha Maboifrend Tanzania (CHAMATA)

Wapenzi wetu, wake zetu, nyumba ndogo zetu, samsing zetu, dogodogo zetu, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kama vile;

Uchaguzi wa Madiwani katika kata 27

Moto uliotokea mara kadhaa katika masoko ya Mbeya

Majukumu ya mambo ya shule mwezi January

Vipigo visivyoisha vya Manchester United

Ukijumlisha na kipigo kibaya cha Arsenal dhidi ya Liverpool wiki iliyopita

Kuhamishwa wa viongozi wa polisi karibuni

Mtafaruku wa Zitto Kabwe na CHADEMA

Vita vya Sudan Kusini

Kuongezeka kwa rushwa

Ujangili wa meno ya tembo

Kukamatwa kwa shehena kubwa ya madawa ya kulevya

uteuzi wa Bunge la Katiba

kuongezeka kwa gharama za umeme

Tungependa kutoa taarifa mapema kwamba hatutashiriki wala kuwepo katika sherehe za Valentine mwaka huu.

Nchi yetu inahitaji kufunga na maombi wakati huu, na sisi, kama sehemu ya Taifa letu tumeamua kuwa katika mfungo wa kuombea nchi yetu kuanzia tarehe 12 hadi 16 February mwaka huu. Tunashauri na nyinyi mchukue muda huo mwafaka, kusherehekea Valentine na wazazi wenu kwani nao ni sehemu ya mapenzi ya Valentine.

Tunategemea kukutana nanyi tena tarehe 17 na tunashukuru kwa ushirikiano ambao tuna uhakika mtauonyesha katika kipindi hiki kigumu cha kuliombea taifa letu Tanzania

MWENYEKITI TAIFA
CHAMATA
 
Yaan chama cha maboifrend yote hiyo ni kukwepa kuoa heee
Mkikataa kutuoaa basi tutajioa wenyewe halafu sijui mtampata wake wapi
 
Naunga mkono Hoja
 
Back
Top Bottom