Hawataki hata kumtazama!

Picha ya kutengenezwa. Wale wa kulia Kivuli kipo upande tofauti na wa kushoto wakati wapo eneo moja.
 
Hawataki umwangalia wakat yuko na kyupi lakn hapo wao usikute wamebeba mabomu. Hawachelewi kujilipua huku wakiita takbirr
 
Wao ni female sasa iweje waone haya kumwagalia female mwenzao, wanafiki hao. Ngoja niwatokee na boxer yangu hapo huku nzakali ikiwa inafoka foka.
 
Picha ya kutengenezwa. Wale wa kulia Kivuli kipo upande tofauti na wa kushoto wakati wapo eneo moja.

Pohamba;
Sikuwa makini hivyo. Dah! Aksante kwa kunifumbua macho. Yoote hayo ni kutafuta tu namna ya kuonesha kuwa kuna wenye maadili na waliokosa maadili.
Huyo wa mbele hadi alishindwa kuzuia Tabasamu lake. Loh! Yaani naye anatamani huyo mumewe angemruhusu akae hivyo ka huyo mdada. Jamani, msijiue kwa kutamani. Njooni hukuuuu. Anawaambia wadada wenzake.
 
Inabidi wakubaliane tu na hali halisi ugenini vinginevyo warudi nchini mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…