Field Marshal and The British Conqueror President Idd Amin Dada. Huyu jamaa ame enjoy sana urais wake. Aliwaongoza waganda kama wanae wakuwazaa. Ukifanya madudu sijui upinzani wa hapa na pale ni public execution. Haina kuremba. Hizo ndiyo bakora zake sasa Ole wako ajue kama we ni jasusi unaetumika na mataifa ya ulaya...kichwa chako kitamuhusu kwa kumbukumbu