Hawatakaa wamsahau

Unafahamu maana ya gaidi au mtu yeyote ambae nafsi yako inamuona mbaya we unamuita gaidi

kama wewe unaweza kubadilisha ukweli haya badilisha kwa watu wote
free will
 
mkuu nashukuru sana. Uzidishiwe ulipotoa

Kazi ipo,usijesema unataka roho yangu!


Niombee,nikutane naye nimpe mbege

fanya namna tutangulize shekeli kwanza yule kachanjiwa na hiyo makitu ujue
 
mbona hiyo picha ya kwanza ni kama yule mkenya aliyefariki juzi kati aliyeigiza muvi ya idd amin?
 
Kuna upande mmmoja tu unazungumzwa kumhusu ambao ni darkside na mazur hayazungumzwi. Inavyoonekana wauganda wengi wana mawazo tofauti na watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…