Sijui kweli leo nimejuahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa leo umeamua kuja kivingine...kanumba alipatatabu sana kwa kulizwa neno why kila alichokuwa anajibu...
Hahahahaaaa anataka kukuzeesha huyu
Duu mkimbizi wa kisiasa
Anakaa upande upi?bado kwani hujamuona kwenye Bunge la Katiba Mpya!!!
Nipe hela nikusameheSamahani
kunguru mwoga...Hahahahaaaa umegonga ikulu ya watu ujue Wewe
Hahahahaaaa Hahahahaaaa chukua hizi umsamehe lol mchagga weyeView attachment 182267
Aya kwa hiyo political asylum seeker ndiyo nini?
Hii kweli wewe huibiwi kesi imenishinda endelea na mgomvi wako akishindwa kukulipa niambie nimuite kamanda
Ahahahahah unajua pesa tu wewe!!!
mkuu nashukuru sana. Uzidishiwe ulipotoaHahahahaaaa Hahahahaaaa chukua hizi umsamehe lol mchagga weyeView attachment 182267
Kazi ipo,usijesema unataka roho yangu!Hizi ulipewa feki ndiyo unanipa sitaki
Niombee,nikutane naye nimpe mbegeHii kweli wewe huibiwi kesi imenishinda endelea na mgomvi wako akishindwa kukulipa niambie nimuite kamanda
mkuu nashukuru sana. Uzidishiwe ulipotoa
Kazi ipo,usijesema unataka roho yangu!
Niombee,nikutane naye nimpe mbege
miss chagga u must be kidding Huyu ni nduli IDD Amin Dada
dada gaidi kuwahi kutokea duniani
anaitwa iddi amin dada
"I do not want to be controlled by anynamkubali sana mtu huyu....ooh ooh o naliaaa nangojea pijo kupanda!
Kwani ajafa bado