tembaisdor
Member
- Sep 19, 2011
- 29
- 7
Kanijia rafiki yangu asubuh hii na mapema nimshauri kwa yaliyomkuta usiku wa jana, wana jamvini kabla sijamshauri naomben mawazo yenu, yy ni hawara wa mume wa mtu sasa jana kulikuwa na harusi ambayo jamaa alipaswa kwenda na mkewe, wakati akimpa updates za yanayojiri harusin kupitia mtandao kwa picha katumiwa pia picha za mke wa jamaa yake kam mbili tatu hivi, harawa kaona hajatendewa haki kutumiwa picha hizo, ndio ugomvi mkubwa ukaibuka, ndio shost kaja asubuh asubuh kuuliza je ni sawa? Je imekaaje, ushauri please !