Hawana furaha!

Hawana furaha!

Nimekubali ya kuwa furaha ni kitu gali sana.Kumbe fedha na mamlaka bado havina uwezo wa kumpa mtu furaha!Unaweza kufikiri ya kwamba hapa wapo kwenye msiba kumbe la hasha, wapo katika mchakato wa kukabidhiwa fedha pamoja na mamlaka.

Daima nitatanguliza mbele utu,ukweli pamoja na haki ili kupata furaha yangu.
View attachment 1633889View attachment 1633890
Nusrat Hanje ndio yupi hapo naona ametrend sana siku hizi nne
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom