Hawakumaanisha walichokisema

Nchi inahela bhana, hivi V8 2016 inafika Tsh ngapi mweny ujuz atujuze
 
Hata viwanda sikuhizi vinasikika kwa mbaliโ€ฆ
 
Mkuu sijaelewa!
 
300 ukienda Toyota ila kwa Serikalini kuna bein maalumu ya jumla coz wanachukua mengi
Daah kweli kaz ipo.. Hela zote izo wangenunua Land cruiser hard top nahisi bei ipo chin kidogo.

Tanzania tunainvest kweny UJINGA UJINGA zaid
 
@mshanajr mbona umesahau Mbowe na yeye alileta mbwembwe akarudisha gari la kifahari la serikali huku media zikiona baadae alirudia kimya kimya pia?
 
Tumekusamehe KOIKA nishirika la misaada la korea kusini kama lilivyo JAICA la Japan labda ndilo ulitaka kumaanisha ukajikuta umeandika KOIKA na linaitwa KOICA na si KOIKA.
Sahihi. Lakini wote ni wale wale! JAICA. KOICA. AMERICAN PEOPLE. USAID. DANIDA. Whatever you call them, ni majangili tu!
 
Nakumbuka hata ktk kampeni za uraisi Magufuli aliweka wazi kuwa akiingia madarakani haya magari atauza na hakuna kununua tena haya magari! hadi leo naona kimya au 'anayavutia pumzi'?
 
Nakumbuka hata ktk kampeni za uraisi Magufuli aliweka wazi kuwa akiingia madarakani haya magari atauza na hakuna kununua tena haya magari! hadi leo naona kimya au 'anayavutia pumzi'?
Atayafanyia kazi,nina imani,haya mambo ya mikataba inabidi kwenda nayo tartiibu,pengine kwa jicho la tatu kuna kitu Taifa linafaidika..ila kwanz akupata uhakika wa mizani. kabla ya
 

Usidhani kila Land cruiser 2016 unayoiona mjini ni mpya kuna jamaa wabaya sana waku Upgrade magari now in dar es salaam. Watu adi wanatoka Kenya kuja kuUpgrade magari yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ