Truth will Remain
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 254
- 126
POLE MHESHIMIWA
Rais Jakaya Kikwete akimpa pole Mheshimiwa Lowasa kutokana na Ajali ya Ndege iliyotokea mkoani Arusha huku akirekebisha tai yake.
Rais Kikwete na Mh Lowasa walikuwa kwenye sherehe za kuwatunuku vyeo maafisa wa jeshi katika chuo cha Kimataifa cha Kijeshi Monduli.
KWELI WATU HAWA HAWAKUKUTANA BARABARANI