Hawakukutana barabarani

Truth will Remain

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
254
225
POLE MHESHIMIWA

Rais Jakaya Kikwete akimpa pole Mheshimiwa Lowasa kutokana na Ajali ya Ndege iliyotokea mkoani Arusha huku akirekebisha tai yake.

Rais Kikwete na Mh Lowasa walikuwa kwenye sherehe za kuwatunuku vyeo maafisa wa jeshi katika chuo cha Kimataifa cha Kijeshi Monduli.

KWELI WATU HAWA HAWAKUKUTANA BARABARANI D92A4539.jpg
 
sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,837
2,000
Kuelekea 2015 jamaa wanaweza tena kurudi kundi moja.....si tunasema kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225
POLE MHESHIMIWA

Rais Jakaya Kikwete akimpa pole Mheshimiwa Lowasa kutokana na Ajali ya Ndege iliyotokea mkoani Arusha huku akirekebisha tai yake.

Rais Kikwete na Mh Lowasa walikuwa kwenye sherehe za kuwatunuku vyeo maafisa wa jeshi katika chuo cha Kimataifa cha Kijeshi Monduli.

KWELI WATU HAWA HAWAKUKUTANA BARABARANI View attachment 126882

Haa KIKWETE ana ruka na UNGO JAMANI? si yuko South Afrika kwenye MAZIKO ya MWISHO ya MANDELA na alitoa HOTUBA safi na alikwenda na MAMA MARIA NYERERE yaani aliondoka na UNGO GANI MPAKA MONDULI saa hizi>\?

Hiyo sio PICHA ya ZAMANI KWELI????
 
OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,943
1,225
Haa KIKWETE ana ruka na UNGO JAMANI? si yuko South Afrika kwenye MAZIKO ya MWISHO ya MANDELA na alitoa HOTUBA safi na alikwenda na MAMA MARIA NYERERE yaani aliondoka na UNGO GANI MPAKA MONDULI saa hizi>\?

Hiyo sio PICHA ya ZAMANI KWELI????

mkuu hujui jk ni rais wa nchi?hatumii toyo kusafiri,inawezekana kabs kuwa monduli asubuh jion unakuwa kwa madiba!labda tukuambie tu, jk jana alikuw monduli akiwatunuku vyeo makamanda wa chuo cha mafunzo ya kijesh?
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225
mkuu hujui jk ni rais wa nchi?hatumii toyo kusafiri,inawezekana kabs kuwa monduli asubuh jion unakuwa kwa madiba!labda tukuambie tu, jk jana alikuw monduli akiwatunuku vyeo makamanda wa chuo cha mafunzo ya kijesh?

Na Pia alikuwa KENYA kwenye sherehe za UHURU wao wa miaka 50 then he's a rolling stone...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom