TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 216
Huyo dada hana tofauti na Tecno. Licha ya make up ila bado yuko hivyo.!
Halafu mbona simu zenu zina stuck zinaganda una swipe kitu bado haki response
Swali
Hzo pamba jamaa anarudisha baada ya date au anaondoka nayo kama zawadi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuwa rahisi, lakini hatua kwa hatua hatimaye ikawezekana! Lengo lilikuwa ni kuhakikisha Valentine inakuwa ya kipekee sana kwa wateja wa simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, pamoja na fans kutoka kurasa za TECNO za mitandaoni kwa kuwapeleka sehemu maalum kwaajili ya kuvinjari.
Safari ilianza kwa kumpeleka saluni Queen Alfred (fan wa TECNO Instagram) kwaajili ya kufanyiwa makeup.
View attachment 1371456View attachment 1371460
Mwonekano wa Bi. Queen baada ya kufanyiwa make up
Hii ni maarufu kama Blind date yaani kukutanisha watu wasiofahamiana wawe marafiki waweze kubadilishana mawili matatu. Hivyo Baada ya mwanadada Queen kupelekwa saluni, upande wa mwanaume naye alipelekwa duka la nguo kwa gharama za TECNO kwaajili ya mavazi murua! Huyu ni mteja wa TECNO Camon 12 ambaye ni Bw. Kalebo.
View attachment 1371461
Mwonekano wa Bw. Kalebo baada ya kuvaa nguo
kwenye moja ya maduka maarufu ya nguo.
Baada ya hapo walipelekwa Hoteli maarufu kwaajili ya kupata chakula cha usiku yaani 'dinner' bila kufahamiana na hatimaye TECNO ilimkaribisha mmoja baada ya mwingine kwenye meza maalum iliyokuwa imeandaliwa. Hapa ndipo walipofahamiana.
View attachment 1371489
Kalebo na Queen Alfred washindi wa TECNO Blind date wakipeana maua ishara ya kuanza kufahamiana baada ya kukutanishwa bila wao kufahamiana.
Shughuli ya chakula baada ya kuisha, kila mmoja alipelekwa kwake. Je, Kalebo na Queen wameendelea kuwasiliana kuimarisha urafiki au la? Endelea kuwa nasi, ipo siku tutaleta
mrejesho
Katika Valentine ya 2019, TECNO iliwapeleka wateja wake kutembelea maeneo mbalimbali ya kitalii visiwani Zanzibar kwaajili ya mapumziko bila wao kuchangia gharama yoyote. Mpaka sasa TECNO inaendelea na kampeni ya kuwapandisha wateja wake kwenye helikopta mwezi Machi.
Tecno sio simuToleo la Spark ni zuri ❤
Habari MLEVi Mmoja, unatumia TECNO ipi tafadhali? Jibu la swali lako ni kwamba nguo hazikurudi alikwenda nazo ni za kwake.
Ivi nyie mna uhakika hamjavunja Ndoa/Mahusiano ya Watu? au mlideclare kwamba wote wako Single?Haikuwa rahisi, lakini hatua kwa hatua hatimaye ikawezekana! Lengo lilikuwa ni kuhakikisha Valentine inakuwa ya kipekee sana kwa wateja wa simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, pamoja na fans kutoka kurasa za TECNO za mitandaoni kwa kuwapeleka sehemu maalum kwaajili ya kuvinjari.
Safari ilianza kwa kumpeleka saluni Queen Alfred (fan wa TECNO Instagram) kwaajili ya kufanyiwa makeup.
View attachment 1371456View attachment 1371460
Mwonekano wa Bi. Queen baada ya kufanyiwa make up
Hii ni maarufu kama Blind date yaani kukutanisha watu wasiofahamiana wawe marafiki waweze kubadilishana mawili matatu. Hivyo Baada ya mwanadada Queen kupelekwa saluni, upande wa mwanaume naye alipelekwa duka la nguo kwa gharama za TECNO kwaajili ya mavazi murua! Huyu ni mteja wa TECNO Camon 12 ambaye ni Bw. Kalebo.
View attachment 1371461
Mwonekano wa Bw. Kalebo baada ya kuvaa nguo
kwenye moja ya maduka maarufu ya nguo.
Baada ya hapo walipelekwa Hoteli maarufu kwaajili ya kupata chakula cha usiku yaani 'dinner' bila kufahamiana na hatimaye TECNO ilimkaribisha mmoja baada ya mwingine kwenye meza maalum iliyokuwa imeandaliwa. Hapa ndipo walipofahamiana.
View attachment 1371489
Kalebo na Queen Alfred washindi wa TECNO Blind date wakipeana maua ishara ya kuanza kufahamiana baada ya kukutanishwa bila wao kufahamiana.
Shughuli ya chakula baada ya kuisha, kila mmoja alipelekwa kwake. Je, Kalebo na Queen wameendelea kuwasiliana kuimarisha urafiki au la? Endelea kuwa nasi, ipo siku tutaleta
mrejesho
Katika Valentine ya 2019, TECNO iliwapeleka wateja wake kutembelea maeneo mbalimbali ya kitalii visiwani Zanzibar kwaajili ya mapumziko bila wao kuchangia gharama yoyote. Mpaka sasa TECNO inaendelea na kampeni ya kuwapandisha wateja wake kwenye helikopta mwezi Machi.
Moo Click, kama ulitufuatilia ni kwamba tulitangaza kuwa watakaokwenda Blind Date ni wale 'single' pekee. Wengine walipewa zawadi nyingine kama simu, na wengine watapata nafasi ya kupanda Helikopta kulitazama Jiji la Dar es Salaam hapo mwezi Machi.Ivi nyie mna uhakika hamjavunja Ndoa/Mahusiano ya Watu? au mlideclare kwamba wote wako Single?
Acheni siasa nyie kampuni nyingine hata matoleo ya zamani hayana matatizo Kama ya kwenu nilikua natumia pop2 nimeamua kuacha ana nayo boresheni simu zenu
Asante From Sir With LoveNimeipend hiyo nadharia. Japo picha ya kwanza ya huyo mrembo haikutoka vizuri. Nimependa pozi lake la kukalia tako moja, japo camera imemuangusha. Natamani mngetengeneza clip badala ya kupiga picha.
Msikatishwe tamaa na maneno ya watu, lakini pia jitahidini kuleta simu ambazo ni rafiki na zenye value for money.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, karibu sana Depal!Toleo la Spark ni zuri ❤
Haha ! Kwamba huyu baharia alikuwa "Singo" ! Kazi ipo.Moo Click, kama ulitufuatilia ni kwamba tulitangaza kuwa watakaokwenda Blind Date ni wale 'single' pekee. Wengine walipewa zawadi nyingine kama simu, na wengine watapata nafasi ya kupanda Helikopta kulitazama Jiji la Dar es Salaam hapo mwezi Machi.