Nimefuatilia Sana hakukuwa na bifu Ila mzee alimdanganya tu mama,kwa maana alitaka kumchezea mama yangu,hakuwa na Nia ya kuishi nae sasa atajuta Mimi kuwa mwanae,nina hasira nae sana,ipo siku tu...nitahakikisha anajuta maisha yake yote na hako kamke kake nafurahi sahizi ananisogeza karibu yake machozi ya mama yangu,hayaendi bure