Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
Bahati mbaya simu ninayotumia inazingua hebu itafute hata kwa kugugo tu Mkuu!Ibandike mkuu
Ni nzuri sana ila inagusa hisia sana
Bahati mbaya simu ninayotumia inazingua hebu itafute hata kwa kugugo tu Mkuu!Ibandike mkuu
Aisee na yule dada anavyojua ku-spin fact ..kweli aliipata pata ..clouds wajipange upya kuna kila dalili kwamba urefu wa maisha yao umefika kwenye visigino "Alikua anamkumbusha jinsi alivyozuia tamasha lake la nyama choma bila sababu za msingi siku chache kabla halijafanyika!
Humo ndani amehusishwa le mutuz [emoji23]
Ina full evidence itafute Mkuu inagusa hisia sana!
Humu sijaiona niliiona huko twitter
Ni kweli Mkuu alikua anatiririka na evidence ya picha!Aisee na yule dada anavyojua ku-spin fact ..kweli aliipata pata ..clouds wajipange upya kuna kila dalili kwamba urefu wa maisha yao umefika kwenye visigino "