Hawaamini wanachokiona

Hawaamini wanachokiona

Mbona kwenye katangazo kao mfadhili wao anasikika akisema "karibu fiesta mimi pia nitakuwepo" sasa ni kwamba aliwatega makusudi ili awachinje siku ya tukio?
 
Lakini barua si imejieleza kuwa kutokana na malalamiko ya wagonjwa au? lakini mawingu wenyewe ni watu wafitina sana acha nawao yawakute na si kweli kwamba tamasha la Wasafi festival limepooza! hii si kweli amini nakuambia ile Team ya WCB tu inatosha kuutingisha kila mkoa na fiesta asiambulie ata nusu ya WCB kwenye show.
Uko sahihi mkuu mond tu pekee yake anapiga show na inajaa hamna pa kutema mate sembuse kundi lote la wcb mawingu fm wajiandae kuaga mashindano na badooo kama noma na iwe noma wametunyonya sana hawa masifi.
 
Nenda Tweeter na mtafute Carol Ndosi.Barua hiyo ni ya kawaida sana ila cha kuangalia kwa macho manne ni pale Le Mutuz anapomwandikia Carol kwa niaba ya Mkuu wa mkoa,hapo pozi limeniishia na wanaojua kusoma kati ya mistari wanaweza kutueleza zaidi.
Kapige screen shot ulete hapa picha ww
 
Hizi chuki walianza Clouds wenyewe. Wasanii wengi sana wamelia kwa sababu yao. Wameumiza familia za watu wengi sana. Malipo huwa ni hapa hapa duniani. Acha niende Nangwanda kwenye Tamasha la Wasanii
 
Hizi chuki walianza Clouds wenyewe. Wasanii wengi sana wamelia kwa sababu yao. Wameumiza familia za watu wengi sana. Malipo huwa ni hapa hapa duniani. Acha niende Nangwanda kwenye Tamasha la Wasanii
Wakina Sugu, Komando jdee wakalalua, wakaja kwa Ruby mtoto wa akaenda kuwapigia mpaka magoti wakaja kwa Mond manina zao hapo ndipo wamechemka kabisaaaaaa
 
Nim
Nenda Tweeter na mtafute Carol Ndosi.Barua hiyo ni ya kawaida sana ila cha kuangalia kwa macho manne ni pale Le Mutuz anapomwandikia Carol kwa niaba ya Mkuu wa mkoa,hapo pozi limeniishia na wanaojua kusoma kati ya mistari wanaweza kutueleza zaidi.
Nimejaribu kuangalia sijaiona mkuu
 
Lakini barua si imejieleza kuwa kutokana na malalamiko ya wagonjwa au? lakini mawingu wenyewe ni watu wafitina sana acha nawao yawakute na si kweli kwamba tamasha la Wasafi festival limepooza! hii si kweli amini nakuambia ile Team ya WCB tu inatosha kuutingisha kila mkoa na fiesta asiambulie ata nusu ya WCB kwenye show.
Humu sidhani kama ililetwa niliona twitter huko
 
Lakini barua si imejieleza kuwa kutokana na malalamiko ya wagonjwa au? lakini mawingu wenyewe ni watu wafitina sana acha nawao yawakute na si kweli kwamba tamasha la Wasafi festival limepooza! hii si kweli amini nakuambia ile Team ya WCB tu inatosha kuutingisha kila mkoa na fiesta asiambulie ata nusu ya WCB kwenye show.
Hao jamaa wana fitna laana nakumbuka ile show ya Hip Hop iliyoanzishwa na Kalapina ilingia mitini Clouds walishindwa hata kumpigia hata matangazo ... Ila clouds mi naona ipumzike kuna wasanii wakali tunawajuwa lakini hawa hit ,, Na kuna show moja ya Djs ilianzishwa na adamu mchovu ilifanyika lakini majibu ya majaji na majibu ya mashabiki .. eti majaji wakachagua mtu wao wanao mtaka
 
Sisi Wapogoro wa Mahenge tunasema: KILICHOMPATA MAMBA NA KIBOKO KITAMPATA
Hizi chuki walianza Clouds wenyewe. Wasanii wengi sana wamelia kwa sababu yao. Wameumiza familia za watu wengi sana. Malipo huwa ni hapa hapa duniani. Acha niende Nangwanda kwenye Tamasha la Wasanii
 
Sikuisoma mkuu .. Alimwambia nini !!?
Alikua anamkumbusha jinsi alivyozuia tamasha lake la nyama choma bila sababu za msingi siku chache kabla halijafanyika!

Humo ndani amehusishwa le mutuz [emoji23]

Ina full evidence itafute Mkuu inagusa hisia sana!

Humu sijaiona niliiona huko twitter
 
Duuuh ni kweli kwamba kila muwamba Ngoma huvutia upande wake,NI kipindi kirefu Sana toka CMG ianze Tamasha la Fiesta lakin Leo inasadikika kuwa Tamasha hili linasitishwa kwa sababu zisizo za msingi ambazo zilionekana kwenye barua iliyotumwa Jana humu.

Swali je serikali ni kwanini walitoa kibali Cha Tamasha hili toka mwanzo na kwanini hawakuiona effect au hayo malalamiko hayakutolewa toka juzi ili kuwezesha CMG kujipanga?ni swali ambalo halitakuwa na majibu ya msingi ila ifike wakti fitna ziishe kwa sababu inawezekana pia kuondolewa kwa Tamasha la Fiesta ikapelekea kupooza kwa Tamasha la Wasafi sote ni Watanzania,tayari mshaondoa ajira za kina Rostam,Weusi inakuwaje Kama wakishajipanga au kumuahidi mwenye nyumba Kama atalupwa baaada ya wiki,

This is not fair.

Mpaka sasa Hatuamini Tunachokiona.
Tabu ipo pale pale ni MOJA KUBWA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom