Hawa wote wanamsingizia Lowassa?

Hawa wote wanamsingizia Lowassa?

Mungu hukumbukwa upesi kwenye shida
 
Hivi lissu anajisikia aibu ya nini?
 
lengo kuu ni kuiondoa ccm mengine baadae!
 
  • Thanks
Reactions: me1
Ccm out! Tena unajua watu wengi wa ccm ni wazee ambao wengi wao wameshaogopa kwenda kupiga kura kwa kuhofia fujo. Kwahio wapigakura wengi watakuwa ni vijana wanaoiunga mkono UKAWA. Lowassa anashinda
 
Game change madame,mliokuwa mnamtetea kwa nguvu zote leo ndo mmeanza kumsema na walomsema mwanzo leo wanawauliza kwanini hamkupeleka mahakamani?so ninyi nyote ni wanafiki lakini nafikiri serikali ndo wanafiki zaidi ya wote
 
Back
Top Bottom