hawa wazee vipi?

hapana, Jamaa kammegea Demu wake. Tuko wangapi?
 
Mimi nimependa hicho Kitovu cha huyo mzee wa kulia!
 
huo mkono wa kushoto wa huyo mzee wa kulia unajiandaa kuachia kibao kimoja matata!
 
Hawa lazima watakuwa wameingiliana maeneo yao ya kuosha magari hapo mtaani!!!
 
mnajua kuna nini hapa??niulizeni mimi!
 
wanapimana ubavu, lakini inavyoonekana huyo aliyevua shati alipigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…