Hawa wawekezaji wanakaba mpaka Penati!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa wawekezaji wanakaba mpaka Penati!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rural Swagga, Jan 27, 2011.

 1. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mitaa ya KARIAKOO,,,.[​IMG]

  [​IMG]
   
 2. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Ndo wachina hao, TZ imegeuzwa kuwa china. Wewe Mtz unaweza kwenda China kufanya hivyo
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  whomone are you trying to blame
   
 4. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Acheni waingize bidhaa poa kwenye soko la tz - wana vibali & kodi wanalipa
   
 5. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Serikali tukuku ya jamhuri ya muungano wa tanzania
   
 6. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mi nadhani waachwe tu walete bidhaa kwa bei ya chni na sisi walala hoi tununue. Heri hawa wachina kuliko wahindi wanao kwapua mpaka benki kuu!

  Tabia za wachina ni chanaganyikeni, maisha ya kawaida kabisa wanayaweza. Hawa jibagui kama wahindi. Wakipewa nafasi za ajira, wataomba za ualimu, upolisi, uanajeshi, wafagia ofisi, wapishi nk nk. Hawabagui tena hata wakilipwa kiduchu hawabishi!
   
 7. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 648
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Kazi ipo!
   
Loading...