Hawa Watusi Jamani!! Kweli TZ Haina Mwenyewe

zitto junior, Sina uhakika kama ni Zitto ninaemsikiaga,ila kama kweli ni wewe au alietumia jina na picha yake,hakika unastahili kukaa kwanza na kufikilia upya ulichokiandika.
Historia ya Rwanda ni ya pekee,historia ya Tanzania ni ya pekee,hivyo,sina budhi kukwambia kwamba kamwe siasa za nchi hizi lazima ziwe sawa.
Kamwe hutoelewa historia ya Rwanda kama mnyarwanda,kamwe hutofeel maumivu waliyoyapata wanyarwanda,wawe walioua,waliokuwa wakiwindwa,na kila mwenye moyo wa kibinadamu.Hivi nikuulize Zitto,uliwahi angalau kuja Rwanda ukapate taarifa huko huko site kuliko hizi unazosoma magazetini na kuhadithiwa! Kama ni Zitto naekusikiaga,kaka yangu,kwenye siasa haya yapo sikatai,lakini,kama umeweza kuona thamani ya damu ya Lissu,kwa kujeruhiwa,ukafumbua mdomo wako na kutaka haki itendeke,kwa nini unaona Kagame ndo dictator? Hii ingekupa picha kamili ya maisha ya watusi unaowataja kuwa wababe leo,kuanzia miaka ya 1958. Kama unaijua thamani ya uhai wa binadamu;
-Unaweza kunieleza faida au ushujaa wa kuchinja mtu kwa kisu,panga,mkuki au siraha nyingine!
-Unayajua maumivu ya mzazi kutwangiwa kichanga kwenye kinu,na mwanamke aliyezaa!
-Unawaza nini kuhusu kifo cha wanawake watusi unaowasema,wakioshindiliwa milingoti sehemu zao za siri mpaka wanakata roho?!
-Unajisikiaje mwanamke,sawa na dada yako au mama yako,wanaume wanapishana juu ya kifua chake,kwa kulazimishwa,kisa wasikie utamu wa kabila tofauti?
-Ni kama wapi uliwahi sikia mtu analipa pesa ili auwae kwa risasi lisitumike panga?
-Umewahi angalau kuwatembelea walionusulika,wenye makovu ya wazi wakupe angalau historia yao?

Ni mengi tu lakini hayo ni badhi.Sasa basi, kama mtu huna msaada wa kumpa,usimpotoshe,kwa sababu hata kilichotokea ni uchochezi wa kuwaonyesha badhi ya watu kuwa wao ndo bora.
Watusi hao,walikimbilia nchi za watu kama watutsi, wakarudi wakiwa inkotanyi,wakapigania haki yao,walivyokomboa nchi wakawa wanyarwanda tu,si vingine,la hasha.
Kuna majina uliyoyataja,ila tu nikwambie kwamba yapo mengi,na nwingine atakayejisikia kuwekwa kwenye orodha hiyo atawekwa tu.
Rwanda ni nchi ya wanyarwanda,si shamba la bibi ambapo wajukuu wanatakiwa wajitawale.
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake,lakini endapo hayahatarishi maisha ya wenzake au kuwatishia amani.Je,uliwahi kuuliza wahusika chanzo cha hao kuwa huko waliko? Kama haki mnayopigania kwenu huko,hata wanyarwanda wana haki sawa. Wenye itikadi kama za hao,ndo chanzo cha maovu yaliyoikumba nchi. Ni kweli alipigana vita ya kukomboa nchi,je hiki kinafaa kuwa kigezo cha yeye kutaka kutawala anavojisikia yeye? Hiyo vita alipigana yeye peke yake?Waliopoteza maisha na waliolemaa wasiojiweza,unadhani wanahitaji kuona hali ile inajitokeza tena?
Hamna mnyarwanda aliye juu ya sheria,labda aliyepo nje ya Rwanda,na huyo ayawasumbua anaokaa nao siyo wnayarwanda nchini kwao.

Kiongozi mhutu unayemsema,vita atakayoianzisha ni huko aliko,Rwanda ya sasa inavamia haivamiwi.Kama yupo anayeijamini,msaidieni aje atapokelewa
wwe mtutsi mmi nmeishi sana gisenyi so najua hasa nachokisema niulize chochote ntakuelewesha toka mnaua wahutu milions kule uvira sijasahau kabisa!!!

shida sio uchochezi shida mnawatesa sana wahutu hivyo mtende haki haiwezekani wahutu wakosekane serkali nzima as if hawana akili i hate it

pia usidanganye mkuu hamkukomboa nchi ila mlipora haki za wahutu kabisa mbona iko wazi kabisa yaani mko 3% ila mnadominatw sekta zote from govt mpka economy mpka media hadi ardhi hapan its unacceptable

i wish i was magufuli by now ningekuwa nmewachinja wote washenz nyie..... mmesababisha wahutu waishi kma manyani kule congo afu mnakuja kusema hapa eti kagame sio dikteta kisa anaua ssa nkuulize kma wana makosa kwanini hampeleki court mnawaua????
 
Hiyo ni ID tu unataka niweke jina langu ili mnisake mniue kma kakere ama nyamwasa???? pole sana mkuu

kuhus watutsi ndio and i dare u to challenge me kumbuka mlifukuzwa 1959 na wahutu wakatawala ssa nakuuliza wwe mtutsi kma kuendana na census ya 1959 mlikuwa 5% only.....ssa if at all mlitimuliwa unataka unimbie mlibaki wangapi???

lets say mlibaki 4% enhe alafu ndio mkachinjwa kma kuku almost one milion unataka kusema 1 million ndio 4% ya rwanda let alone bado mlisurvive wengi tu so unataka kusema rwanda ina population ya 15 million????

jiulize tu 5% ni ngapi kwa rwanda population in 1994????

nyie watutsi kma kweli mlichinjwa 1 milion by now mngekuwa only 1 thousand

haya wwe unayebisha njoo hapa na population sample ya 1995 inayoonyesha tutsi wea above 200 thousand rwanda by the tym of genocide

Kwanza nikushukuru kwa kuweza kuniondoa shaka la ID,ningeshangaa sana.We endelea tu kukalilishwa na unaowajua,hizo census zako sijui ulizifanyia wapi ukiwa na nani na kwa lengo lipi.
Kikubwa tu ni kwamba hiyo 6% ilipiga hiyo 94% ya wahutu unayodai wewe,Rwanda ikabaki kuwa na wanyarwanda wake.Karake na hao kina Nyamwasa unaowasema,tambua kwamba wana haki sawa na omba omba aliyepo Rwanda.Kwa hiyo wajifanye wanavyotaka wao wengine tutulie?
 
wwe mtutsi mmi nmeishi sana gisenyi so najua hasa nachokisema niulize chochote ntakuelewesha toka mnaua wahutu milions kule uvira sijasahau kabisa!!!

shida sio uchochezi shida mnawatesa sana wahutu hivyo mtende haki haiwezekani wahutu wakosekane serkali nzima as if hawana akili i hate it

pia usidanganye mkuu hamkukomboa nchi ila mlipora haki za wahutu kabisa mbona iko wazi kabisa yaani mko 3% ila mnadominatw sekta zote from govt mpka economy mpka media hadi ardhi hapan its unacceptable

i wish i was magufuli by now ningekuwa nmewachinja wote washenz nyie..... mmesababisha wahutu waishi kma manyani kule congo afu mnakuja kusema hapa eti kagame sio dikteta kisa anaua ssa nkuulize kma wana makosa kwanini hampeleki court mnawaua????

Hivi,ya kwenu umechangia kiasi gani kurudisha hiyo amani ilokwishapotea? Mbowe kasema kwamba toka uchaguzi wa 2015,Tanzania siyo sehemu salama. Umemaliza kulishughulikia hilo kwanza?
Sasa,ina maana wewe ndo una akili sana kuliko wanyarwanda wanaoishi hivo hivo?
hiyo 3% kudominate 97% huoni ni kishindo cha ajabu?
Umesema ungekuwa Magufuli.Unadhani ana akili za pumba kama hizo? Yaani uue,unaona ni kazi ndogo eh!
Sasa,ninaona picha kamili,ebu hayo unayoyaongea rudi Rwanda ukayaongelee huko tuone,kama kweli we mwanaume.
Umekimbia maovu yako au ya wazazi wako,unaanza propaganda zisizo na kichwa wala miguu.Komaa sasa,hao watusi wamalize,na Kagame umtoe,uwatafutie mhutu anayeweza kuwaendesha watusi.
Japo ugonjwa wa ukabila ulo nao usipoacha utafia kwenye nchi za watu kama yuna kwenu
 
Kwanza nikushukuru kwa kuweza kuniondoa shaka la ID,ningeshangaa sana.We endelea tu kukalilishwa na unaowajua,hizo census zako sijui ulizifanyia wapi ukiwa na nani na kwa lengo lipi.
Kikubwa tu ni kwamba hiyo 6% ilipiga hiyo 94% ya wahutu unayodai wewe,Rwanda ikabaki kuwa na wanyarwanda wake.Karake na hao kina Nyamwasa unaowasema,tambua kwamba wana haki sawa na omba omba aliyepo Rwanda.Kwa hiyo wajifanye wanavyotaka wao wengine tutulie?
Demographics of Rwanda - Wikipedia

pitia hapo uone kuwa u r now 14% ila by 1994 mlikuwa below 10%

ssa ambacho hujui u guys mlikuwa mnatumia ID cards zenye kabila kwenye kadi ssa ulitegemea data zisiwepo??? pia ambacho hujajibu mpka ssa ni kwamba if at all 800,000 tutsis wea killed ina maana mlikuwa more than 1 million in 1994???? ukiachana na exiles ambao wako kibao ug meaning watuts rwanda alone mlikuwa zaidi ya 2 million??????

embu jibu hilo swali langu ili we mweyewe ujione unavyodanganya

yaani data zinasema mpo 5% yaani less than 200,000 afu hapo hapo mnadai ni tutsi genocide yaani what about the 600,000 hutus who wea murdered?????
 
Hivi,ya kwenu umechangia kiasi gani kurudisha hiyo amani ilokwishapotea? Mbowe kasema kwamba toka uchaguzi wa 2015,Tanzania siyo sehemu salama. Umemaliza kulishughulikia hilo kwanza?
Sasa,ina maana wewe ndo una akili sana kuliko wanyarwanda wanaoishi hivo hivo?
hiyo 3% kudominate 97% huoni ni kishindo cha ajabu?
Umesema ungekuwa Magufuli.Unadhani ana akili za pumba kama hizo? Yaani uue,unaona ni kazi ndogo eh!
Sasa,ninaona picha kamili,ebu hayo unayoyaongea rudi Rwanda ukayaongelee huko tuone,kama kweli we mwanaume.
Umekimbia maovu yako au ya wazazi wako,unaanza propaganda zisizo na kichwa wala miguu.Komaa sasa,hao watusi wamalize,na Kagame umtoe,uwatafutie mhutu anayeweza kuwaendesha watusi.
Japo ugonjwa wa ukabila ulo nao usipoacha utafia kwenye nchi za watu kama yuna kwenu
hahahahahah mkuu mie sio muhutu mimi ni mtanzania pure kabisa ila nmeishi huko sababu za kikazi na masomo ndio maana naongea nayoyaongea of course rwanda nkisema hivi ntauwawa asubuhi tu ila kma ni kuuawa acha aniue ila ntakuwa nmeongea ukweli tu hta chuo nlichosoma alikuwa amejaza maspy nakumbuka siku moja walinirekodi na wakataka kunipiga picha ila nlishawagundua hivyo wakatoweka so usinipe vitisho kabisa

pia 3% mnatawala kwa mabavu ila mkiweka democracy na wahutu wakipata elimu walahi watutsi mtasikia urais kwenye bomba!!! watutsi mnawatesa sana wahutu huo ndio ukweli hta mkikataa

wahutu wamekufa 5 milion kule congo mliwaua kwenye UN refugee camps au unafkiri hatukumbuki alafu leo hii mnasema naleta ukabila?? wakati kagame anawaua mbona hamkumuita mkabila????

ssa nakwambia wwe mtutsi kuwa ur day is coming iko siku wahutu watajielewa tu na watawanyoosha tu na mtajuta kwanni mnawabagua

laugh while thr is still time ila siku moja mtakuja kuswallow ur pride kwa mlichowafanyia walendu kule bunia ama kule bukavu na kina mutebuzi!!!! u shall pay for that
 
Watanzania kama wewe ni aibu kwa taifa. Watanzania tuachane na propaganda za kuoneza chuki hao Watutsi wameteseka sana nadhani baadhi ya watanzania hawajui machungu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe..

Tuimalishe intelejensia lakini sio kushiriki kueneza chuki zidi ya wanyarwanda, we should feel pitty kwa hawa watu what they have faced is one of the worst situations to ever happen to human kind..

Still Kagame is a great leader wenye busara wengi hukubaliana na hilo
 
Kagame is a great leder is it a joke or what....,kama kagame ni kiongozi mzuri kwanini anamtesa yule dada alieamua kugombania uraisi,
 
Watutsi wanatengeneza maaui kijinga sana. Sometimes the best way to protect your community ni through proper training and good ways of living with others.Maaduiw atakuinda. Ila kwa uchache wao, they will finally ceae to exist. Wanwake wao wakitumika ktk ngono watazalishwa ,sana na mwishowe watakuwa diluted tuu. Pia kuishi nje ya system ya kufanya kazi halali ni kubaya sana. Finally numbers matters the most. India wana mabilionea kwa vile wana watu wengi. Ingawa nchi ni masikini.And in turna hao mabilionea wanawekeza ktk namna ya kubeba masikini. Watusti watapotea,na tabia yao ya kuendekeza kuwa priveldged ndio mbaya sana,wanakuwa ktka attenction, somewhere issue zikiwa mbaya hesabu zitawashidna, waarabu na wahindi, wasomali etc walifanya sana huu ujinga. Sasa wanaumia, na wanrudi kuwa the most miserable.
 
waswahili mna laana. Siku mnaachia nchi ni siku , hawa jamaa wanawashikia chini, ndipo watu smart ktk hii nchi watakapoinuka na kuichukua kwa hao jamaa wanoataka watawala.
 
Mkuu heshima kwako ukweli ni kwamba mie sio mchochezi ila ukweli lazma usemwe..... nakubali watutsi wameteseka ila SIO zaidi ya wahutu ukitaka faham hilo nenda UVIRA kule DRC uone wahutu wanavyoishi kma wanyama na bado kagame hakuridhila aliwafuata mwaka 2003 na kuwachinja makambini sio chini ya million 1 ilihali watutsi wanaponda raha rwanda na uganda walipokamata uchumi na madaraka alafu mnataka tukae kimya?? Hawa Watutsi wanadharau sana nimeishi nao na 90% ya marafiki zangu ni watutsi kutokea gisenyi,nyiragongo,bunia cjui mbarara so nawajua vzuri sana hao jamaa kwa ufupi SIO WANADAMU!

Mie sienezi chuki ila napenda kuweka historia sawa hivyo naudhika navyosikia watu wakipotosha historia ya genocide eti wanaita Tutsi genocide wakati waliokufa majority ni Hutus kuanzia Burundi mpaka Rwanda hadi DRC ila watu hawajui hili inauma sana

Anyway nimalizie kwa kusema kuwa malipo ni hapa hapa duniani mnavyowatesa wahutu leo jua iko cku yatawarudia tu TIME WILL TELL
Watanzania kama wewe ni aibu kwa taifa. Watanzania tuachane na propaganda za kuoneza chuki hao Watutsi wameteseka sana nadhani baadhi ya watanzania hawajui machungu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe..

Tuimalishe intelejensia lakini sio kushiriki kueneza chuki zidi ya wanyarwanda, we should feel pitty kwa hawa watu what they have faced is one of the worst situations to ever happen to human kind..

Still Kagame is a great leader wenye busara wengi hukubaliana na hilo
 
Ila duh, najaribu kuwaza na kuwazua lkn spati picha, kwa nn pk alimchukia sana kikwete ? Kwa nini Rwanda ilipojiunga tu na Eac pk akaanza kuleta fitna za hapa na pale mara wafanye vikao bila kuishirikisha tz na vitu km hivyo ? Ukaribu wa magufuli na pk unatokana na nn haswa ? Y pk anatajwa sana ktk masuala ya umwagaji damu na uvamizi ktk nchi nyingine km drc ? Duh, maswali ni mengi na sina majibu ila I can smell smthng fishy...!!
 
Nature ya Magu ni huko kagera ambao wameishi na Watusi/wahangaza Miaka mingi hivyo kuna mwingiliano na wanyarwanda ndio maana wanaelewana sana na P.K !!
 
Basi nshaandika maumivu...duh ndo mana ghafla ghafla jamaa kashamilikishwa bandari ! Na ile njia ya ikulu tulikuwa tunaruhusiwa kupita lkn baada ya watu kumwaga ubuyu kwamba walinzi ni wanyarwanda naona sasa ndo wameifunga kabisa 'wambea' wasipite ! Duh, haya bana wacha watuuze tu, history repeats its self....watu weusi waliuzwa na weusi wenzao zama za utumwa so hata ss wacha 'tuuzane' tu !
 
Watanzania kama wewe ni aibu kwa taifa. Watanzania tuachane na propaganda za kuoneza chuki hao Watutsi wameteseka sana nadhani baadhi ya watanzania hawajui machungu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe..

Tuimalishe intelejensia lakini sio kushiriki kueneza chuki zidi ya wanyarwanda, we should feel pitty kwa hawa watu what they have faced is one of the worst situations to ever happen to human kind..

Still Kagame is a great leader wenye busara wengi hukubaliana na hilo
Adui wa Watutsi ni Watutsi wenyewe! Kagame (your hero) masterminded Rwandan genocide kwa tamaa ya kuwa rais wa Rwanda na kibaraka wa wazungu ili kuivamia DRC kupora maliasili zake. Kagame hakuridhika na power sharing agreement kwa kuwa hata kwa namna gani asingeweza kuchaguliwa kuwa rais wa Rwanda kwa njia ya sanduku la kura wakati chama cha MRND (chama tawala Rwanda wakati huo) kikiwa na ushawishi mkubwa nchini Rwanda. Pia RPF ilikuwa tayari imeshachukuliwa kuwa kikundi cha wauaji kutokana na visa vya mauaji ya wanyarwanda mikoa ya kaskazini mwa Rwanda waliyofanya kati ya mwaka 1990 - 1993.
Pia kwa kuwa Kagame alikwisha panga vita kubwa dhidi ya serikali ya Rwanda, ndiyo maana alikataa jeshi la RPF kuchanganywa na jeshi la serikali baada ya kusaini mkataba wa amani wa Arusha wa Rwanda.

Hebu nikuulize: Kati ya Wahutu na Watutsi, ni wepi waliuawa wengi kwenye genocide na baada ya genocide?

Bado Kagame anazidi kudhihirisha roho ya uuaji aliyonayo, ripoti ya haki za binadamu inazidi kumuumbua!
 
Watutsi wanatengeneza maaui kijinga sana. Sometimes the best way to protect your community ni through proper training and good ways of living with others.Maaduiw atakuinda. Ila kwa uchache wao, they will finally ceae to exist. Wanwake wao wakitumika ktk ngono watazalishwa ,sana na mwishowe watakuwa diluted tuu. Pia kuishi nje ya system ya kufanya kazi halali ni kubaya sana. Finally numbers matters the most. India wana mabilionea kwa vile wana watu wengi. Ingawa nchi ni masikini.And in turna hao mabilionea wanawekeza ktk namna ya kubeba masikini. Watusti watapotea,na tabia yao ya kuendekeza kuwa priveldged ndio mbaya sana,wanakuwa ktka attenction, somewhere issue zikiwa mbaya hesabu zitawashidna, waarabu na wahindi, wasomali etc walifanya sana huu ujinga. Sasa wanaumia, na wanrudi kuwa the most miserable.

Watutsi wapo wengi Tanzania kutokana na sababu za ki historia na Watanzania wengi hawapo rwanda kwa sababu za kihistoria..;

*Rwanda na Tanganyika zilikuwa nchi mmoja kipindi cha mjerumani so wengi walihamia Tz kipindi hicho.

*Baada ya Genocide 94 wakimbizi wengi walikuja Tz na baadhi waliomba uraia na kufanikiwa kuupata

*Kuna Watanzania wengi wameoa wanawake wa ki tutsi, kuna waTz huenda Rwanda na kuwachukua hao wanawake wa kitutsi (kwa tamaa au sababu zao binafsi ).

Kiuhalisia kwa Dunia ya sasa kila mtu anazingatia maslahi yake hivyo sisi yatupasa kuacha kulaumu na sisi tubuni mbinu mpya. Tujirekebishe hako kaudhaifu kalikokuwepo kwa wanawake wa ki tutsi
 
Adui wa Watutsi ni Watutsi wenyewe! Kagame (your hero) masterminded Rwandan genocide kwa tamaa ya kuwa rais wa Rwanda na kibaraka wa wazungu ili kuivamia DRC kupora maliasili zake. Kagame hakuridhika na power sharing agreement kwa kuwa hata kwa namna gani asingeweza kuchaguliwa kuwa rais wa Rwanda kwa njia ya sanduku la kura wakati chama cha MRND (chama tawala Rwanda wakati huo) kikiwa na ushawishi mkubwa nchini Rwanda. Pia RPF ilikuwa tayari imeshachukuliwa kuwa kikundi cha wauaji kutokana na visa vya mauaji ya wanyarwanda mikoa ya kaskazini mwa Rwanda waliyofanya kati ya mwaka 1990 - 1993.
Pia kwa kuwa Kagame alikwisha panga vita kubwa dhidi ya serikali ya Rwanda, ndiyo maana alikataa jeshi la RPF kuchanganywa na jeshi la serikali baada ya kusaini mkataba wa amani wa Arusha wa Rwanda.

Hebu nikuulize: Kati ya Wahutu na Watutsi, ni wepi waliuawa wengi kwenye genocide na baada ya genocide?

Bado Kagame anazidi kudhihirisha roho ya uuaji aliyonayo, ripoti ya haki za binadamu inazidi kumuumbua!

Kwa source zangu wa tutsi ndo waliouwawa zaidi ila maisha ya kila binadamu yana thamani sawa despite his tribal affiliation , mauaji hayakubaliki ..
 
Adui wa Watutsi ni Watutsi wenyewe! Kagame (your hero) masterminded Rwandan genocide kwa tamaa ya kuwa rais wa Rwanda na kibaraka wa wazungu ili kuivamia DRC kupora maliasili zake. Kagame hakuridhika na power sharing agreement kwa kuwa hata kwa namna gani asingeweza kuchaguliwa kuwa rais wa Rwanda kwa njia ya sanduku la kura wakati chama cha MRND (chama tawala Rwanda wakati huo) kikiwa na ushawishi mkubwa nchini Rwanda. Pia RPF ilikuwa tayari imeshachukuliwa kuwa kikundi cha wauaji kutokana na visa vya mauaji ya wanyarwanda mikoa ya kaskazini mwa Rwanda waliyofanya kati ya mwaka 1990 - 1993.
Pia kwa kuwa Kagame alikwisha panga vita kubwa dhidi ya serikali ya Rwanda, ndiyo maana alikataa jeshi la RPF kuchanganywa na jeshi la serikali baada ya kusaini mkataba wa amani wa Arusha wa Rwanda.

Hebu nikuulize: Kati ya Wahutu na Watutsi, ni wepi waliuawa wengi kwenye genocide na baada ya genocide?

Bado Kagame anazidi kudhihirisha roho ya uuaji aliyonayo, ripoti ya haki za binadamu inazidi kumuumbua!
Kagame is a great leder is it a joke or what....,kama kagame ni kiongozi mzuri kwanini anamtesa yule dada alieamua kugombania uraisi,

Kagame ni kiongozi bora mzee, kwa swala iliyopitia nchi ya Rwanda its a wise decision kuwa na a humble society na yenye high limitations on freedom of speech ..
 
Kitu kimoja ambacho watu hawafahamu ni kuwa tz ni nchi ambayo RAIA wake wanaasili ya nchi jirani. Just like USA ambapo sehem kubwa ya RAIA wake wanaasili ya nchi tofauti Ulaya na Africa
So no matter how tz itaendelea tuu na itazidi kuwa imara daima ila hao uliowataja wataioa ikipaa daima maana watakufa tuu na tz itabaki.
Tz ni taifa teule Africa so kazi wanayo ila mataifa yao yatazidi kuteswa na ukabila wao.
 
Kagame ni kiongozi bora mzee, kwa swala iliyopitia nchi ya Rwanda its a wise decision kuwa na a humble society na yenye high limitations on freedom of speech ..
Hamna kitu kama hicho mkuu,Kagame ameingia msituni ili aje kuwakomboa Wanyaruanda sio kuwakandamiza naamini kila mnyaruanda ana haki ya kuwa kiongozi wa Ruanda,anachokifanya Kagame ni kuwabana wanyaruanda ili atawale yeye tu...

Kama yeye kiongozi mzuri kwanini hafanyi kama alivyofanya Mandela,baada ya kumaliza kusudio lake akawachia nchi wa South Africans.......
 
Watutsi wapo wengi Tanzania kutokana na sababu za ki historia na Watanzania wengi hawapo rwanda kwa sababu za kihistoria..;

*Rwanda na Tanganyika zilikuwa nchi mmoja kipindi cha mjerumani so wengi walihamia Tz kipindi hicho.

*Baada ya Genocide 94 wakimbizi wengi walikuja Tz na baadhi waliomba uraia na kufanikiwa kuupata

*Kuna Watanzania wengi wameoa wanawake wa ki tutsi, kuna waTz huenda Rwanda na kuwachukua hao wanawake wa kitutsi (kwa tamaa au sababu zao binafsi ).

Kiuhalisia kwa Dunia ya sasa kila mtu anazingatia maslahi yake hivyo sisi yatupasa kuacha kulaumu na sisi tubuni mbinu mpya. Tujirekebishe hako kaudhaifu kalikokuwepo kwa wanawake wa ki tutsi
Mkuu naona umetumia lame excuse ya watz "HOJA ZOTE KM ZINAPOINT MATATIZO MNAZION AKM KULALAMIKA" ni makosa kufany akazi ya kumziba mkosaji kwa kisingizio usichokijua. Issue ni kwamba sio power kwa Rwanda km wanavyodhani. Watakuwa diluted fasta kuliko wanavyodhani. Na automalitically hata watu wanaowatuma watakuwa absorbed ktk culture nyingine kuliko wanavyodhani. Tz is too complex kuliko wanavyoweza dhania.Na dunia inazunguka kwa naman hatari sana.Ndio maana hata wazungu wamekuja jua hawapao salama sana ,wao na utamaduni wao kutokana na ongezeko la watu wa nchi za 3.Wanaona wazi kuwa nchi zao sasa hivi zitafanana na Somalia,au iraki, au gheto za dar mapema sana. Kwa vile watu wanaokuja hawajali. Rwanda wanaweza furahia mazoba wanaokimbilia wanawake wao,ila hawa mazoba wanaweza kuwa na characteristics nyingi sana zinazoweza pelekea kufanya zaidi ya nusu ya wanawake wa rwanda kuwa waaminifu kwa hayoa makanila kuliko upuuzi wa hiyo empire.Na wakajikuata wana lost sheeps wengi sana.

Tayari Rwanda wameshaanza kuona shida , issue za mapenzi hadharani zimeanza dhibitiwa.Na soon wataanza mulika guest houses za wageni. Ila ndio hivyo huwezi kuwa na mbwa wa kunusa dawa asiwe teja wa dawa.
 
Back
Top Bottom