Hawa watu ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa watu ni nani?

Discussion in 'Jamii Photos' started by tz1, May 28, 2012.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hii picha nimeiona kwenye Mjengwa blog,lakini haina maelezo.
  Hawa ni wanajeshi au polisi na kwa nini huyo jamaa ana bunduki?
  8.jpg
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,322
  Trophy Points: 280
  Haya ndio matatizo ya vijana ambao HAMKUPITIA JKT!
  Hao ni vijana mabao kwa vyovyote wako katika idara ya ulinzi na usalama(iwe JWTZ,JKT,Polisi etc)
  1.Cheki vichwa vyao-denge kwa utaratibu wa majeshi yote
  2.Hiyo bunduki ni SMG(Sub mchine gun) iliyooondolewa kitako-issued to Government forces
  3.Alishika bunduki yuko mbele na si nyuma, hivyo hao wengine si watuhumiwa bali wenzake(amasivyo angekuwa nyuma
  akiwasindikiza)
  4.Mood ya hao vijana-ni lazima wako katika mchakamchaka wa aina fulani, na si shari!

  Conclision:poa na tulia Tz1 na fikiria kujiunga nao!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  asante kiongozi kwa maelezo
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Hawa walikua wanashangilia ushindi wa Mnyika juzi mi nilikua nyuma hapo
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hawa nahisi ni UAMSHO hawa!! Si unajua hoja ya muungano inahitaji msisitizo?
   
 6. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nakuunga mkono kabisa angalia huyo wa mbele kulia mwenye t-shirt yenye ragi za bendera ya Tanzania mkono wake wa kulia ameshika Radio Call.
   
 7. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Walikuwa wana andaliwa kwenda zanzibar.
   
Loading...