Hawa watoto hawaani wanachokiona

Hii mimi hainishangazi kabisa maana nikiwa kwenye semina nchini Malaysia tulitembelea kisiwa kimoja kinaitwa "Langkawi" tukiwa weusi watatu mimi, binti moja wa kinigeria na Jamaa moja wa Ghana kati ya wanasemina 50, watu wakubwa kwa wadogo walikuwa wanatushangaa hivihivi. Wakadai kwamba walikuwa hawajawahi kumwona mtu mweusi maishani mwao.
 
Hata mie nilivyokuwa mdogo nikiona mzungu natamani kumshika nilikuwa nahisi wanabonyea
 

hata kwenye tv hawajawahi kumwona ?
 

Kotah baru, Surabaya na Ipoh pia hiyo miji wakiona ngozi nyeusi huishangaa mno, nami nilikutana na situation kama hiyo mwaka 1999
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…