Hawa watangazaji wako wapi?

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
635
Ndugu zangu naombeni kujuzwa watangazaji hawa wako wapi mbona siwasikii tena siku hizi, au labda wameahamia stations ambazo hazisikiki mikoani huku nilipo. Yaani, Ezekiel Molongo, Sued Mwinyi na Misanya Bingi nilikuwa nawakubali sana.
 
Misanya Bingi is an assistant lecturer and a Phd candidate at the University of Dar es Salaam
 
Ndugu zangu naombeni kujuzwa watangazaji hawa wako wapi mbona siwasikii tena siku hizi, au labda wameahamia stations ambazo hazisikiki mikoani huku nilipo. Yaani, Ezekiel Molongo, Sued Mwinyi na Misanya Bingi nilikuwa nawakubali sana.

sued karud hq tbc,anatangaza mpira,hata cmba na yanga altangaza,then misanya alipata kaz udsm,idara ya sosholojia
 
Niliambiwa na mtu kuwa Ezekiel Malongo kawa usalama wa taifa. Matangazo ya mpira yamekosa mvuto siku hizi
 
sued karud hq tbc,anatangaza mpira,hata cmba na yanga altangaza,then misanya alipata kaz udsm,idara ya sosholojia

Aaaah! Kuuuumbe! Unaona sasa!
Unajua siku hizi tbc taifa imekosa sana mvuto, watu wengi hatuisikilizi.
Na huyo Mlongo?
 
Back
Top Bottom