Hawa wasafiri mjini Dar es Salaam wanatokea wapi?

Hawa wasafiri mjini Dar es Salaam wanatokea wapi?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,621
Reaction score
6,512
Wakati wa kipindi cha tishio la corona, kulitokea upunguaji mkubwa wa idadi ya wasafiri jijini Dar es Salaam.

Niliwahi kuleta uzi nikauliza ile hali inamaanisha nini? Je, watu walilikimbia jiji au kwamba wasafiri wengi ni watu wasio na shughuli maalumu za kila siku kiasi kwaamba wanaweza kuzisitisha kwa muda?

Ilifika kipindi hadi wiki chache zilizopita, tulishaanza kuzoea level seat katika usafiri wa daladala.

Sasa wiki chache zilizopita, kumetokea mfumuko mpya wa wasafiri kama uliokuwepo zamani.

Bado napata maswali, hawa watu walikuwa wapi?
 
Wanatoka Mikoani mkuu.

Tufanye makadrio

Mabasi 100@abria50=5000/abria per dayx 30day =150000 abria kwa mwezi.
Wote hao ni watu wanao ingia dar
Kwa namuna moja tegemea
Changamoto zitokeee
 
... wengine watakuwa wanaenda Zanzibar; hawaishii tu Dar.

Juzi niko kwenye daladala nikasikia vijana wawili wanaongea. Mmoja ni dhahiri alikuwa hajawahi kufika Dar.

Je, hizi zina uhusiano wowote na zoezi la uchaguzi.
 
Dar ndio Toronto ya tanzania wasipo fika dar utazani wataenda wapi
 
Wanatoka Mikoani mkuu.

Tufanye makadrio

Mabasi 100@abria50=5000/abria per dayx 30day =150000 abria kwa mwezi.
Wote hao ni watu wanao ingia dar
Kwa namuna moja tegemea
Changamoto zitokeee
Na ndio kiwango hicho hicho kinatoka nje ya Dar usisahau hilo
 
Back
Top Bottom