Hawa wanazingua sana!

Jomasi

Member
Nov 30, 2014
48
32
Kwanini wanawake wanatutega wenyewe kwa uvaaji wao wa nguo fupi,zakubana na zinazoonesha maungo yao wazi alafu wakitongozwa wanazingua?
 
Uwe unawatongoza na hela mkononi sio unaongea nae halafu mnaagana bila hata kumpa ya vocha,utabaki ukilalamika tu humu
 
Katika awam hii ya "hapa kazi tu" bado unatongoza tu wanawake?
Wenzio akitaka mwanamke anamwambia leo nataka kazi nina 200,000/- cash twende kona bar. mnaenda unakula mzigo mnatawanyika
 
Back
Top Bottom