Hawa wanaotupigia simu wakitaka kututapeli wanapata wapi namba zetu?

Hawa wanaotupigia simu wakitaka kututapeli wanapata wapi namba zetu?

Joined
Jul 14, 2016
Posts
14
Reaction score
6
Wapendwa habari
KUNA tabia ya watu kukupigia SIMU na kujifanya wamepata jina lako toka mamlaka fulani mfano jamaa anapiga simu anasema yupo baraza la mitihani tanzania amepokea orodha ya watumishi anakuambia jina lako limo hivyo kuna taarifa zako zinatakiwa na utumishi haraka hivyo ili tusiharibu kwa kuandika taarifa mbaya tuma kiasi fulani ili tusikuharibie maana utumishi wanaelekea kukufungia mshahara
Maswali yangu ni:-
1. Huwa wanapata wapi taarifa za muhusika?
2.Verification ya watumishi inafanywa namna hii?
3.ushauri Wenu tafadhari
4.Kuna namna ya kuja kama kweli anachozungumza kuna ukweli wowote?
Asanteni
 
Back
Top Bottom