Hawa wanaotumbuliwa wanapewa adhabu gani?

Hawa wanaotumbuliwa wanapewa adhabu gani?

Qunax

Senior Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
100
Reaction score
127
Hawa wanaotumbuliwa wanapewa adhabu gani? Maana nasikia kuna wakurugenzi wametimuliwa tangu mwaka jana na bado wanalipwa mshahara me bado sijakubali mpaka nione kigogo mmoja katolewa kafara.kila siku tunasikia wezi wezi alafu sion action huu wizi wa mchanga ni wizi kama wa 200 hivi nlosikia walihukumiwa ni kina Mramba tu kufagia muhimbili kosa kuiba Matrilioni.

[HASHTAG]#Huku[/HASHTAG] kitaa mtu akiiba kuku anachomwa moto.
Nafasi za pepo bado ziko nyingi sana.
 
Unaweza ukawaandikia barua ukaweka na anwani ya unapoishi. Nadhani watakujibu.
 
UTUMBUAJI BILA KUSHITAKIWA AU KUFILISIWA NI SAWA NA KUMWACHA MWANAMKE NA MALI ZOTE UNAMPA
 
Back
Top Bottom