Deodat JF-Expert Member Sep 18, 2008 1,274 272 Oct 21, 2010 #1 Vidole viwili juu kama kawa! Attachments gwh108023[1].jpg 5.2 KB · Views: 65 61671472.0lYeAH46[1].jpg 4.5 KB · Views: 53 man-long-hair_~b12136[1].jpg 7.1 KB · Views: 57
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,499 86,037 Oct 21, 2010 #2 na mie pia, si unaona hata kwenye avatar yanu hapo
nguvumali JF-Expert Member Sep 3, 2009 4,923 1,325 Oct 21, 2010 #4 huyu pia anaipenda chadema wewe je
Deodat JF-Expert Member Sep 18, 2008 1,274 272 Oct 21, 2010 Thread starter #5 Elli said: na mie pia, si unaona hata kwenye avatar yanu hapo Click to expand... Asante sana kwa kuipenda CHADEMA.....sasa unajua nini kinafuata....ni kuipa kura ifikapo 31 Oct.
Elli said: na mie pia, si unaona hata kwenye avatar yanu hapo Click to expand... Asante sana kwa kuipenda CHADEMA.....sasa unajua nini kinafuata....ni kuipa kura ifikapo 31 Oct.
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,499 86,037 Oct 21, 2010 #6 deodat said: Asante sana kwa kuipenda CHADEMA.....sasa unajua nini kinafuata....ni kuipa kura ifikapo 31 Oct. Click to expand... Hayo ndo maneno, jamani naombeni mnitumie adress ya NEC nicheki jina langu kabsaaa wasije niletea zengwe mie
deodat said: Asante sana kwa kuipenda CHADEMA.....sasa unajua nini kinafuata....ni kuipa kura ifikapo 31 Oct. Click to expand... Hayo ndo maneno, jamani naombeni mnitumie adress ya NEC nicheki jina langu kabsaaa wasije niletea zengwe mie
Deodat JF-Expert Member Sep 18, 2008 1,274 272 Oct 21, 2010 Thread starter #7 Pearl said: Sisi pia tunaipenda Click to expand... Yaani tukishindwa uchaguzi mwaka huu basi tena, mpaka sungura wanaipenda.....! JK anakazi mwaka huu!
Pearl said: Sisi pia tunaipenda Click to expand... Yaani tukishindwa uchaguzi mwaka huu basi tena, mpaka sungura wanaipenda.....! JK anakazi mwaka huu!
P pierre JF-Expert Member Sep 3, 2010 211 8 Oct 21, 2010 #8 Mimi ni mfuasi wa mtu anayeweza kuleta mabadiliko na sio chama.
Deodat JF-Expert Member Sep 18, 2008 1,274 272 Oct 21, 2010 Thread starter #9 pierre said: Mimi ni mfuasi wa mtu anayeweza kuleta mabadiliko na sio chama. Click to expand... Si umalizie basi kuwa mtu huyo ni Dr. Slaa!
pierre said: Mimi ni mfuasi wa mtu anayeweza kuleta mabadiliko na sio chama. Click to expand... Si umalizie basi kuwa mtu huyo ni Dr. Slaa!