Hawa wamezamishwa na Zitto kisiasa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,102
114,689
Orodha ni ndefu sana na inaanzia 2010 imekuja mpaka juzi kati uchaguzi wa 2015.Habibu Mchange,Mtela Mwampamba,Mzee Said Arfi,Joni Shibuda,Albert Msando,Mwigamba,Prof.Mkumbo(huyu alinaswa kama dogo wa darasa la 4).Orodha ni ndefu
 
Sema wamepotezwa na chadema, Zitto mlitaka pia kumpoteza ila ni kichwa zaidi yenu!
 
Hawa ni wa MBowe

Dr. Slaa
Chacha Wangwe (RIP),
Sa8
Kubenea
Yericko Nyerere
Lowassa
Ongezea wengine.....
 
Zito kama si tamaaa angekuwa mkubwa sana nchii hii miaka michache ijayo kila tamaa imemponza
Naunga mkono hoja, kama angeendana na itifaki ya viongozi wa juu wa chama bila u muchknow mwingi angejijengea jina sana na kwa vile CDM imeshakuwa brand ya wananchi sina shaka yoyote 2025 Mbowe angemsimamisha kabisa kwa baraka zote agombee urais. Asa kwa sasa hii ACT japo ni chama kizuri tu na kipya lakini itakuwa ngumu kujenga brand inayoweza kutetemesha kama inavofanya CDM, hapo itabidi asubiri kama 20 years halafu awaombee njaa CDM.

Yaani kwa ufupi with ACT, future is not clear... chama bado hakiuzi kabisa hiki. Ila 2020 tutajaribu kukipaisha mimi binafsi ntagombea ubunge halafu baada ya hapo tuone itakuwaje.
 
Last edited:
Back
Top Bottom