VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Ndiyo maana namomba Lisu akazie sana watu hapo juu uliowataja, hawa kila mmoja angalau awavute watu 10 wa kumpigia kura Lisu, basi kama ulivyosema mchezo umekwisha!Waliobomolewa nyumba na biashara zao bila kulipwa fidia pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofukuzwa kazi kwa sakata la vyeti bila kupewa hata sumni pamoja na kufanya kazi kwa miongo kadhaa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliopatwa na majanga ya asili bila kupata msaada wa kiserikali pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofungiwa biashara na shughuli zao za kiuchumi kwa njia za kibabe pamoja na wategemezi wao.
Duh wewe noma sanaUkitaka kujua nan anashinda huu uchaguzi ni simple sana! mskilize mgombea mwenyewe kwa makini utajua nan anashinda
Wafanyakazi serikalini ni wachache sana..wanachama wa CCM ni wachache sana...kura za maoni za zamani wagombea wa CCM walikuwa wanapita mitaani na mikadi yao wanatoa hela kwa vijana wakawapigie kura...Sasa baaasiiiWe mzee kumbe unafanana sana matendo na nyumbu
Ok wapigakura ni ml28 je ukijumlisha hao wote unapata ngapi? ukitaka +na wafanyakazi wa serikali
wanachama wa ccm pekee wanatosha kumrudisha jpm madarakani
nyie endeleeni kupiga ramli tuu πππ
We mzee kumbe unafanana sana matendo na nyumbu
Ok wapigakura ni ml28 je ukijumlisha hao wote unapata ngapi? ukitaka +na wafanyakazi wa serikali
wanachama wa ccm pekee wanatosha kumrudisha jpm madarakani
nyie endeleeni kupiga ramli tuu πππ
Ccm inawanachama 8mlWafanyakazi serikalini ni wachache sana..wanachama wa CCM ni wachache sana...kura za maoni za zamani wagombea wa CCM walikuwa wanapita mitaani na mikadi yao wanatoa hela kwa vijana wakawapigie kura...Sasa baaasiii
iyo ml3 ni chademaCcm haina wanachama 3m hai nchi hii. Mke wangu ana kadi ya ccm ili kupata upendeleo wa mikopo ya vikoba, lakini hataki hata kuisikia.
iyo ml3 ni chadema
Ccm inao 8ml
acha kudhania!!Maisha yako, nchi hii haina wazee milioni 8. Ukiona kijana ana kadi ya ccm ni aidha ni mfaidika wa moja kwa moja na ccm, au kachukua kadi ilikufanikisha shughuli zake zinazohitaji upendeleo wa kiccm. Ila wanachama wa ukweli kwa maana ya itikadi ni wazee, na hakuna wazee milioni 8 nchi hii. Ww sema mpaka sasa ccm imeuza kadi zaidi ya 8m, maana kadi ni shilingi 500, lakini sio wanachama hai.
We mzee kumbe unafanana sana matendo na nyumbu
Ok wapigakura ni ml28 je ukijumlisha hao wote unapata ngapi? ukitaka +na wafanyakazi wa serikali
wanachama wa ccm pekee wanatosha kumrudisha jpm madarakani
nyie endeleeni kupiga ramli tuu πππ