Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,997
- 103,382
M mwenyewe npo tanzania na hali halisi ni vijana wengi sana watampigia kura magu sababu kazi yake inaonekana kuanzia kuwabana mafisadi hadi kuongeza uwajibikaji kwa ofisi za serkali hadi jinsi alivyopambana na covd19 wote niliongea nao wamenihaidi kuumpa kura
Mbona mimi niko hapa hapa Tanzania lakini naweza kuandika kwa kuweka koma na nukta, ww unakwama wapi?
Kijana gani anajivunia uwepo wa Magufuli huku hana ajira, na mambo yanazidi kuwa mugumu kimapato? Hizo propaganda za tiss na mataga ndio zinakifanya uamini kuwa kuna uwajibikaji kwenye ofisi za serikali?
Nenda ofisi yoyote ya serikali utakayopata huduma ipasavyo, bila kuwekewa mazingira ya rushwa. Amepambana na Covid kwa kuzuia kutangazwa kwa idadi ya wagonjwa!
Maombi huwa yanaondoa ugonjw? kama maombi yanaondoa ugonjwa mwambie aatishe maombi ili ukimwi, kisukari, pressure nk yaaishe. Hakuna kijana anayejitambua atakayempa kura mtu anayemshindisha njaa kwa kumnyima ajira.