Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Nikifuatilia jinsi watanzania wanavyozidi kuichukia ccm basi naamini kuwa ipo siku ccm itashindwa jinsi ya kuiba kura.
Ilianza kule Mtwara juzi juzi wananchi wakarudisha kadi zao za ccm na kumtupia mwenyekiti wao hapo Mtwara.
Leo hii wamaasai wamerudisha rundo la kadi za ccm tena kwa amani .
CCM wajitafakali na wajue kuwa ipo siku pamoja na wizi wao wa kura siku inakuja watashindwa kuiba.
Wananchi tumewachoka hatuna imani na nyinyi.