KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 83
Madhara yapi? Mmoja ni kiwavi. Hiyo ni one stage katika mchakato wa kuzaliwa kipepeo au nondo. Baadhi wana sumu fulani akikupitia mwilini unavimba au kuwashwa. Lakini siyo serious. Mwingine ni centipede (kiswahili chake sijui). Ni mdudu wa kawaida, anatisha kwa macho lakini hana hatali yoyote.
Centipede=TANDU in swahili!
Inasemekana tandu ana sumu kali kuliko ya nge. Kwa hiyo akikuuma, utaipata fresh for sure. Lazima jasho likutoke!


