Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,294
Elimu haina mwisho.naomba kuelimishwa kuhusu hili.
Mfano ukichukua mfuko msafi,na kitu chochote kisafi kinachooza kwa mfano embe,ukalifunga vizuri kwenye mfuko baada ya Siku kadhaa like embe litaoza na kuleta wadudu flani hivi kama wa chooni..sasa maswali yangu.
1.je hawa wadudu wanatoka wapi,wanakuwa formed vipi Uko kwenye mfuko.?
2.hawa wadudu wanapata wapi hewa ilhali mfuko unakuwa umefungwa..?
3:hatuwezi kuusisha uumbaji wa mwanadamu na uumbaji wa hawa wadudu!?
Asanteni.