Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,503
- 2,276
Mkuu wanaitwa Lightning bugs.. Au jina lingine wanaitwa Fire flies.. Wana produce mwanga kwenye abdomen..Wakuu naombeni mnijuze kiundani kuhusiana na hawa wadudu, kuna sehemu wanaitwa vimulimuli[emoji856][emoji856]
Huwa wanakuwa wengi msimu wa mvua hasa majira ya usiku, huwa utawaona wengi wanawaka waka fulani hivi......
Mimi huwa siwaelewi kabisa, inakuwaje wanatoa mwanga mithiri ya indicators za gari?
Je huo mwanga unazalishwaje katika mwili wao? Au wanauakisi mchana? [emoji848][emoji848]
Siwaelewagi kabisa! Mnijuze aiseee[emoji41][emoji41]
Hawa ni aina gani ya wadudu, na wanaitwaje kitaalam(kisayansi/kiingereza)?
Mkuu wanaitwa Lightning bugs.. Au jina lingine wanaitwa Fire flies.. Wana produce mwanga kwenye abdomen..
Kwakuwa nimekupa jina.. Nenda Google kawatafute
Ngoja wataalamu wa wadudu waje.
Zamani kabla Biology haijanikomboa nilikuwa naamini hao wadudu uhusiano na wachawi na wanatumiwa na hao night movers, kumbe wapi!Ni maumbile yao tu.Wana uwezo fulani waliopewa na Mungu uitwao "bioluminescence" ndo unawafanya wawake wake.
Baada ya kuelemika nilianza kuwapenda sana hao "Kimulimuli Jazz Band".
Utafiti mdogo kama huyu ambao haukugharimu fedha wala muda unatakiwa uufanyie kwako kisha ulete mrejesho asap.Wanasema wakikuingia kwenye kucha, kucha huoza.....Hii ikoje mkuu!?
zilikua ni story na vitisho tu, wanaingiaje kwenye kucha kwanza?Wanasema wakikuingia kwenye kucha, kucha huoza.....Hii ikoje mkuu!?
Zamani nilikuwa nasema mbu wanakuja na tochi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Wakuu naombeni mnijuze kiundani kuhusiana na hawa wadudu, kuna sehemu wanaitwa vimulimuli[emoji856][emoji856]
Huwa wanakuwa wengi msimu wa mvua hasa majira ya usiku, huwa utawaona wengi wanawaka waka fulani hivi......
Mimi huwa siwaelewi kabisa, inakuwaje wanatoa mwanga mithiri ya indicators za gari?
Je huo mwanga unazalishwaje katika mwili wao? Au wanauakisi mchana? [emoji848][emoji848]
Siwaelewagi kabisa! Mnijuze aiseee[emoji41][emoji41]
Hawa ni aina gani ya wadudu, na wanaitwaje kitaalam(kisayansi/kiingereza)?
Ongea Baba ake Swalehe, tutagoogle maana usijali[emoji2] [emoji2]Daah ntaongea physics ngumu sana hapa na biology ngoja ninyamaze
hahaaa umeona eeDaah ntaongea physics ngumu sana hapa na biology ngoja ninyamaze
Tunaoishi vijijini tunawafurahia sana hapo viumbe ikiwa unakatiza zako usiku baada ya mvua kunyesha unapishana nao afu kwa mbele unapishana na konokono na kwa mbele zaidi unapishana na jongoo na mwenzake mnyoo..
Napita