Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,505 Oct 24, 2011 #21 Gosbertgoodluck said: Wachina wajenge mitalo ya maji machafu ndiyo kazi inayofaa. Click to expand... Nayo mbona walichemka maji yanatuama kama kawa
Gosbertgoodluck said: Wachina wajenge mitalo ya maji machafu ndiyo kazi inayofaa. Click to expand... Nayo mbona walichemka maji yanatuama kama kawa
P pat john JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 245 Reaction score 38 Oct 24, 2011 #22 Hii ni sehemu ya barabara kuu kutoka Cairo hadi Cape Town. Sehemu mbaya kuliko zote ilkuwa Tz, sasa kunajengwa Iringa, Dodoma hadi Arusha.
Hii ni sehemu ya barabara kuu kutoka Cairo hadi Cape Town. Sehemu mbaya kuliko zote ilkuwa Tz, sasa kunajengwa Iringa, Dodoma hadi Arusha.