Hawa wadada wanaojitambua wapo wapi?

Mkuu wapo sana ila hawana tako wana matumbo makubwa na hawaend n fashion.kila la heri mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hii ndio maana ya waifu matirio
 

Wife material wapo sana tu Sema nyinyi wanaume mna vigezo vingi sana. Sasa hivi mtu asipokuwa na tako kwisha habari yake. Kupata wife material sali sana upate kumjua kwa macho ya rohoni.
 
Unakua unakosa vigezo vya kua kwenye hiyo list?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa na tumbo kubwa na kutokuwa na chura vinahusiana vipi na kujitambua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa na tumbo kubwa na kutokuwa na chura vinahusiana vipi na kujitambua
Inasemekana kua wengi wao wenye hivyo vitu ndo hao wanaojielewa zaidi ukilinganisha na maslay queen
 
Wengi wanaojitambua ni vibonge..
na wengi hawataki vibonge, hapo ndo wanapopishana.

changamoto kubwa ya vibonge ni kwamba wapo sensitive sana na miili yao, unaweza ukamchekesha akacheka akirudi kujiangalia kwenye kioo anapoteza cheko..

ila wanafaa kujenga nao familia.
 
Mkuu,una maana gani hapo "" ukamchekesha akacheka akirudi kujiangalia kwenye kioo anapoteza cheko..""
 
Mkuu,una maana gani hapo "" ukamchekesha akacheka akirudi kujiangalia kwenye kioo anapoteza cheko..""
mwanaume unaweza ukawa mcheshi balaa mkikaa mnapiga story fresh anaenjoy ila sasa mkiagana yeye akirudi kwake akivua nguo akijiangalia kwenye kioo anaanza kushangaa nyama zake, anasononeka.

wanajua kuji-depress sana.. hata umkubali vipi jinsi alivyo bado huwezi kumbadili anavyojichukulia.
 
Wapo wengi tu, wapo humu humu...

Vile utakavyojiweka au kujichetua ndivyo utakavyopata wa kufanana nae...



Cc: mahondaw
 
Kuna option kadhaa
1.unaweza ukamuumba huyo mtu; chukua udongo mfinyange unavyotaka na future unayotaka

2.unaweza ukamzaa,ukamkuza kwa future unayotaka na baadae,ukamtumia utakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…