Hawa wadada wanaojitambua wapo wapi?

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Nimekuwa katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu saana, nimetembelea sehemu tofauti za starehe na burudani kwa muda mrefu saana, kwa kuwa mimi ni mkristo nimeenda kanisani saana ki uweli nimejaribu kufanya uchunguzi kwa wasichana na wasasa 70% ni pasua kichwa, hawajitambui na hawana future za maisha!

Leo nimejaribu kuja hapa kuuliza na kupata ushauri kwa hawa wife material + future women wapo wapi? na wanapatikana vipi?

Je, hapa JF wapo? na kama wapo tunawajuaje?

na kwa sisi wenye uhitaji wa Warembo wa aina hii tunaweza meet nao wapi na vip??
 
Nenda nanjilinji wewe wako wengi
Ukifika usiende kwenye kumbe za starehe kazungukie mashambani utaona wamejipinda kazikazi
 
Write your reply...cha msingi tako au kalio hayo mambo ya kujielewa utamuelewesha taratibu na mijeledi, mkanda, vibao, ngumi lazima awe understanding

cha msingi chura
 
Write your reply...cha msingi tako au kalio hayo mambo ya kujielewa utamuelewesha taratibu na mijeledi, mkanda, vibao, ngumi lazima awe understanding

cha msingi chura

hahaaaaaaaa
 
Omba Mungu atakukutanisha tu na aliye wa kufanana na wewe sasa jiulize are you a husband material?
 
At least umemshauri vizuri. Lakini pia hata wale nao sio wote .. maana nyuma ya pazia wanakuaga na scenario za kustaajabisha

kweli kabisa mkuuu
 
Kwani kujitambua ni nini ?
 
Walio kuwa wana patikana mjini walikufa wakaja wapya wao ni wife material lakini lazima uwe na pesa tafuta pesa ule mema ya dunia kama hauna nenda vijijina utawapata lakini usimlete mjini atageuka
 

Waswahili wanasema "Ndege wanaofanana huruka pamoja." Ili uweze kupata wife material lazima na wewe uwe na sofa zinazofana na sofa za wife material a.k.a husband material. Usipokuwa husband material basi kamwe hutawaona hao wanawake ambao ni wife material na hata ukiwaona hutawatambua kwa sababu macho na fikra zako zimezoea kuona/kukaa/kutembea na wanawake ambao hawana sifa za wife material.
 
Asante kw ushauriii
 
Mkuu wapo sana ila hawana tako wana matumbo makubwa na hawaend n fashion.kila la heri mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wapo sana ila hawana tako wana matumbo makubwa na hawaend n fashion.kila la heri mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimpata mmoja wao naomba namba pm
 
Mkuu wapo sana ila hawana tako wana matumbo makubwa na hawaend n fashion.kila la heri mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…