Sana sana wale wanaodhani ni mastaa na baadhi ya watangazaji na wanaharakati pia. Utasikia dada hana mume anasema eti anaomba Mungu apate mtoto, au eti hana uwezo wa kuzaa, tena analiweka wazi wazi na hata kufikia kuomba msaada wa mawazo au matibabu ya tatizo kama lipo. Kwa nini asiombe mume kwanza ndo aombe mtoto?
Swali ni hili, ni Mungu yupi wanamuomba? Kuna tofauti na mwizi aombaye Mungu amsaidie kufanikisha kuiba? Je wanaamini Mungu anawasikiliza?
Nilitegemea awe kwenye mstari ulionyooka kabla ya kuelekeza maombi kwa Mungu