Hata Maja muweke kwenye list😅Ni vizuri wakajipanga kuendelea na mishe zingine kwasababu uchaguzi ujao hawakwepo bungeni.
1 . Mwijuma Khamis ( Mwana FA)
2. Babu Tale
3. Askofu Gwajima
4. Covid 19 wote.
........,............................
Update
5. Shahashisha
6. Gambo
7. Pallangyo
8. Kabudi
9. Musukuma
10. Adolf
11. Makamba
12. Nape
13. Daniel Flatei ( mzee wa Sarakasi).