Hawa Vodacom wanaumwa!!

Mkuu bado naona Vodacom wana vifurushi vizuri ukizingatia kuwa mitandao mingine haijaleta vifurushi bomba zaidi ya kushusha idadi ya MB na dakika.

Yeah binafsi ninaimani nao sana tu
 
Mbona na Airtel na Tigo zote wamepuguza? Mi nababana hapa hapa! Vuka mkojo ukanyage.....
 
Umeona eeh, Eddom? Lakini afadhali kuna unlimited kwa voda, nimeendelea na issue zangu! Nilijaribu hiyo Switch on ya airtel majanga matupu!
 

Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa Voda au? Kama ni hivyo hii nyodo iko juu sana! Hata hivyo bado tutahama tu.
 
Pia kifurushi cha 899 masaa 24 mitandao yote wamepunguza MB kutoka 300 hadi 200.


Nahamia airtel switch on
 
Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa Voda au? Kama ni hivyo hii nyodo iko juu sana! Hata hivyo bado tutahama tu.
Achana naye mkuu.. unahamia wapi sasa na kote kumeongezwa bei/kupunguzwa vifurushi.

Voda bado wako vizuri kwa ninavyoona.
 
Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa Voda au? Kama ni hivyo hii nyodo iko juu sana! Hata hivyo bado tutahama tu.

Nakuambia utahama lakini utarudi VODACOM. kuna kamtandao kalianza juzi kkati mbona hamhamii huko. Voda bado ni mama lao. Baba ni ndevu na sharubu tu lakini mama ndio tegemeo la wote.
 

Umeingia menu ipi mdau?

Muda huu nimenunua kifurushi cha Tshs 500:

Nimepata 20mins, 50 sec all networks,250 national sms na 100mb ambazo natumia as I am writing now!

Labda mabadiliko ni kwa baadhi ya wateja!
 
VODACOM......Kazi ni kwakooooo.
 

Ha ha haaa
 

Bategereza ebu jibu huu uzi kwa kile kiingereza chako utata. Very funny
 
Dawa ni kuwaacha na kutumia lines za kampuni nyingine, hawa jamaa ni wezi sana halafu wamewaibia watu kwa muda mrefu sana ss!
 
kwa heshima na taadhima tunamuomba blogger number moja Tanganyika LE MUTUTZ SYSTEM asaidie popote ulipo organise mkutano mkamuon MD wa voda kama ulivyofanya kwa nbc na nmb.....mlioko Tanganyika mkiitwa mkutane mlimani city mjitokeze,,,,,,,msiogope le....mutuz lugha sio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…