Kitendo cha VodaCom kubadilisha gharama za bundles bila kuwajulisha wateja wake ni wizi mkubwa. Ni bora muwajulishe wateja kabla hamjabadilisha vifurushi ili mtu ajue anabaki ama kuhama kulingana na uwezo wake.
Hivi ndo nn kupunguza dakika za kwenye vifurushi
Eti sa hv 500 ambayo ulikua unapata dk 12 na mb 125 sa hv unapata dk 10 na mb 75
650 ambayo ilikuwa dk 20 ss ni dk 17 na mb wamepunguza pia
Hawa voda mi naona wanaumwa nnya kwa kweli!
Huu wizi wa kindezi mpaka lini asee??
Kitendo cha VodaCom kubadilisha gharama za bundles bila kuwajulisha wateja wake ni wizi mkubwa. Ni bora muwajulishe wateja kabla hamjabadilisha vifurushi ili mtu ajue anabaki ama kuhama kulingana na uwezo wake.
Mwenyewe nimejiunga leo nikachokaaa..!! Kweli ukisikia ofa mpya jua kuna ya zaman inaminywa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe umejuaje kama hukujulishwa ? Sisi Vodavom tuko hapa kwa maslahi yetu sio ya kwako. Na usitutishie. kama una hama wewe hama tu na sijui utahamia mtandao gani labda TTCL maana Tigo na airtel wako juu zaidi ya Voda. Zantel mwisho wake Magomeni kwenu Kimara mtandao haupatikani. Nasema usitutishie nyau.
Kumekucha twende tu cha mgema huliwa na walevi
Leo nimenunua kifurushi cha sh 499, yani sina hamu nao tena.. Narudi zangu airtel,
TTCL ndio alfa na OmegaMi asa hivi nina lain za TIGO,VODA & AIRTEL kazi yangu ni kuangalia nani mwenye unafuu zaid ya wote kisha ndo najiunga.
Leo nimenunua kifurushi cha sh 499, yani sina hamu nao tena.. Narudi zangu airtel,